hutu ndyo mumfananishe na wa tanescooo, mnamkosea[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-11-11 08:49:18
98
ADAM COMPONY SUPPLIES :
mara ya kwanza kuona hii account nikajua kuna mtu ameihack mpka nikaifatilia 😂😂
2026-11-11 14:31:11
262
heriethpaschal :
uku Admin WA ngorongoro... kule Tanesco mara NIDA 😅😅🙌
2026-11-11 17:25:01
131
Comrades’Maya❤️ :
Ndo kwenye pita pita zangu nkaluta watu wanamsifia sana admin wa ngorongoro nkasema mi nani nisiebde kutazama iyo page and paaaaap🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
2026-11-08 12:09:33
208
sabbyabby :
Admin please😹😹💔
2026-09-25 15:52:03
416
keyzah Brand :
am sure hawa ma admin nu Gen Z😂😂
2026-11-12 14:05:57
0
momz daughter :
😅Admin tunaeee
2026-11-11 07:58:26
20
Pojo nail's💅🏾 :
Thamani kubwa sana ni pale Mungu anapotumia maisha yako kuwa ushuhuda kwa wengine. Maisha yako yawe sababu ya wengine kumjua Kristo, kumpenda na kumfuata. Ukiweza kuwa daraja la kumfikisha mtu kwa Yesu, basi maisha yako yatakuwa na maana kubwa zaidi. Hiyo ndiyo thamani ya kweli ya kuishi
2026-11-11 20:39:07
16
Salamah :
Admin ukoo vizurii😂😂😂
2026-11-10 05:50:09
32
Kemy Philemone :
"they got a spicy on it"😁😁
2026-09-25 19:28:55
137
E Donald ndibwile :
uongezwe mshahara😅
2026-09-25 16:47:21
208
Dr Naseeb :
admin unasifa ukiona madem😁
2026-11-01 17:10:13
40
Savio | Satoshi :
Ila we jamaa
2026-11-09 22:37:33
11
𝕴𝕃𝕃𝕌𝕄𝕀𝔸𝕋𝔼 :
is this the shrimp one
2026-09-26 09:06:05
37
Cantona Real Estate :
kumbe hadi huko kuna gomba
2026-09-25 16:42:26
21
𝗰𝗿𝗲𝗱𝗼⛎ :
admin ukowapi nikupe ata tip
2026-09-25 20:18:09
9
Mwl Julius Kiwovele :
jamani tufanye Jambo admin WA Ngorongoro aokote chochote kitu.Huu NI mfano WA kuigwa kwa Hifadhi nyingine Ku brand vivutio vyetu.
2026-09-26 16:36:36
9
manuel :
Admin hongera kwa ubunifu mzuri nakukubali
2026-09-25 17:08:22
5
Ms.kie❤️ :
mmmh
2026-09-25 17:16:39
3
treyshan🇹🇿💕 :
2026-09-27 07:14:54
1
Willy Nkya :
Admin unanikosha sanaaa
2026-09-27 06:14:47
1
baryk frank :
😅😂
2026-11-11 19:08:55
1
davina.eliah🇹🇿 :
Admin is on a generational run with this account
2026-11-12 15:21:03
3
Able_platnumz :
2026-09-25 16:33:57
2
XPØNXØR D3 BOE🌀 :
admn
2026-11-10 07:20:33
2
To see more videos from user @visitngorongoro, please go to the Tikwm
homepage.