@thomaskinyala:

God son 🦸🦸🦸
God son 🦸🦸🦸
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 25 September 2026 15:55:07 GMT
29363
1695
113
225

Music

Download

Comments

fellie325
Fellicious♥️♥️ :
Nyimbo imenigusa sana mpaka nmelia🥹
2026-09-26 13:27:50
24
emaema4914
ema01tz :
Huyo msanii ana itwa nani nifatili music yake[Laughing][Laughing][Laughing][Laughing]
2026-09-26 07:52:02
2
omaryselemani195
Captain zero y. :
wanafiki wengi sana
2026-09-26 08:16:09
16
ibrahimkombe41
Ibrahim Kombe :
Kuna nchi ina wanafiki zaidi kuliko bongo🤣🤣🤣🤣
2026-09-26 06:32:57
21
zoba.tz52
wewe :
kweli Bongo laha atakama samia aongeze madeni mimi sihami
2026-09-26 16:12:22
2
frankjepson469
Frank Jepson :
nilikua natafuta sana hii video😂😂😂
2026-09-26 14:02:39
4
emmy21784
Emmy :
[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy] ebu mnisaidie anaimba wimbogani
2026-09-26 08:22:52
2
daniel.mcharo
Daniel mcharo :
hii nchi ndo ele nchi ya ahadi kwenye biblia[Tears of joy][Tears of joy]
2026-09-26 13:09:32
7
luka.mtweve.luka
Luka mtweve Luka :
mbona sisi waelewa japo wao walishindwa kuelewa
2026-09-26 13:56:38
2
sam.khan8397
Sam khan☠️😎 :
kwan sisi wenyew tunasemaje??😂😂😂😂
2026-09-26 08:44:33
4
user7113344800730
Lucy P.gama€€land😍🤣🤣💯🤱🤗 :
ila watanzania 🤣🤣🤣acha niipende Tanzania yangu bana 🤣😂
2026-09-26 11:51:21
0
shaggy_815
mkomejuma :
bongo sihami
2026-09-26 04:38:07
3
imankahuz
billry drago :
nimeisikiliza kwa hisia mpaka nikalia nimekuja ku google kumbe unahusu kilimo😂
2026-09-26 16:48:11
1
abraham.mirajy
Abraham mirajy :
kama kisukuma tu
2026-09-26 06:00:48
2
alishanto__mbaga
MISONDO TZ🔞🔞 :
saw kabisa shushashusha shoula awaaajvjaga
2026-09-25 17:53:21
3
akyoo255ayo
mursally de,ayo :
alaf ikute wimbo ni wa msiba mnashangilia hvo
2026-09-26 13:58:06
1
yohane.andrew8
lonely¿ :
Ila wabongo
2026-09-26 08:21:56
1
yasiniabubakarien
Yasiri A Enoki :
tutaelewana tu
2026-09-26 05:14:22
1
niahmtulano702
NIAH ❤️ mtulano :
uzuri unavyo kuja tunakupokea 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
2026-09-26 17:54:06
0
braghitonmussa
braghitonmussa :
daaah hii nyimbo inaisia sana inanikumbushaa mbali sana Yani shoshangishii alijua kutuumiza wanaume sana😆😆
2026-09-26 17:28:39
0
khantz53
It`s Khan :
dah jaman tanzania la sana ndo vile sijazaliwa uko tu ila ata ningejua kuongea kiswahili ningeshukuru sana
2026-09-26 17:45:35
0
coman_msafi
coman-msafi :
dah huu wimbo umebeba hisia kali sana dah mi yamewahi kunikuta hayo kaka mchina 🤪🤪😜🤪
2026-09-26 17:42:51
0
spiderfixture
spider fixture :
eeeeeeeee watu wewe iyo leo iooooooo
2026-09-26 17:53:22
0
nicksonestomihi26
Nickson Estomihi Lyimo :
hi ndio ngoma Kali ya mwaka huu
2026-09-26 17:40:08
0
bekaboy589
SIDE :
kunawat wanafik jaman
2026-09-25 17:36:59
0
To see more videos from user @thomaskinyala, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About