@lihekamedia: Tarehe 24 Februari 2019 itasalia kuwa moja ya siku za kipekee na zenye mshtuko mkubwa katika historia ya soka la Uingereza, Ilikuwa ni siku ya fainali ya Carabao Cup katika uwanja wa kihistoria wa Wembley, ambapo miamba ya soka la England Chelsea na Manchester City, walikuwa wakichuana vikali kuwania taji hilo. Hata hivyo kilichotokea baada ya Dakika 90 za mchezo huo ndicho kilichotikisa Vichwa vya habari vya magazeti mbalimbali kuliko Hata matokeo ya Mchezo wenyewe, mlinda mlango ghali zaidi duniani wakati huo, Kepa Arrizabalaga, alimgomea kocha wake mkuu, Maurizio Sarri ambaye alimfanyia Mabafiliko dakika za jioni za 'Extra time' kama maandalizi ya kuelekea kwenye changamoto ya Mikwaju ya penalties baada ya suluhu ya bila kufungana kocha Maurizio Sarri alifanya maamuzi ya kutaka kumuingiza kipa wa akiba Willy, Caballero ambaye alikuwa na rekodi nzuri ya kuokoa penati na aliwajua vizuri wapinzani Manchester City kwa kuwa alikuwa mchezaji wao wa zamani Lakini licha ya Mwamuzi kunyoosha kibao cha kuashiria Mabadiliko hayo Kepa aligoma huku akionesha ishara za kutoridhishwa kabisa, hali iliyopelekea Kocha kususia mechi na kuondoka kwenye Benchi la ufundi Baada ya Mikwaju ya penalt Chelsea walipoteza dhidi ya Manchester city kwa mikwaju 4 - 3 Je, ulibahatika kushuhudia Tukio hili?, Usisahau ku Follow ukurasa wetu ili kuwa wa kwanza kupata Historia, rekodi na Taarifa zote muhimu #lihekamedia

LIHEKA MEDIA
LIHEKA MEDIA
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 25 September 2026 15:55:23 GMT
197129
15310
63
79

Music

Download

Comments

123samwel
Garza 🙋 :
Believe on your self🔥
2026-09-26 05:39:12
0
erijardo
𝔼ℝ𝕀𝕁𝔸ℝ𝔻𝕆 :
KEPA ndy jina Lakeee
2026-09-25 19:35:45
1
user2908122880051
user2908122880051 :
tamu hii ilimalizia vp nani alishinda
2026-09-25 18:25:12
14
daudmfikwa1
Dev!! :
af wakapotez kweny penalt man city akashind 2019 carabao cup final
2026-09-26 05:07:28
0
chinani.jr
chinani JR :
mwanaume hakubali kushindwa
2026-09-26 03:32:21
4
user9268139198688
gaucho :
alishinda Chelsea na kumbuka kip aliwasaidia sanaa
2026-09-26 14:20:19
4
ahmedsalim5262
Ahsashe22 :
Mwendelezo Nani aloshinda
2026-09-26 04:24:52
4
menye_ndopwaay
lemo semhako :
please next
2026-09-25 18:31:11
0
muvny.nex.agin
Muv@ny Ónex again :
ilikuw chrs vs city katika final ya carabao cup,2019 mwez wa 2 , Ambapo kocha wa chrs alihitaji GK kepa dk 118 amfanyie sb, lakin KEPA alikataa na kuendelea kuitaka mech mpaka penaty mwisho wa yot chrs walipotez mchezo Kwa pen 4-3 , Ambap KEPA alitoa penat ya Sane 2 huk nne zote zikiingia kambani tena kw matesa makubw sana, Mwish wa yote alipew adhab ya fini na kuto chez mchez unaofuata, ph kuomba radhi hadharan kwa mashabik na wachezaj wenzie
2026-09-26 03:42:43
7
user88169416j
J Boy 👀 :
maamuzi ya kiume
2026-09-25 17:59:19
6
user792765512
saidi ukoo :
nakubari mwanaume
2026-09-25 21:04:06
3
abubakarhassan0043
Abubakarhassan004 :
wapil leo
2026-09-25 17:44:07
1
balikimwakitalima
Baliki Mwakitalima :
wakwanza leo
2026-09-25 17:28:23
1
antonyfirestarboy
@NTONY 344DYZ UNYONGE ZAMBI :
leta kipande Cha mbele
2026-09-26 18:08:20
0
amrani9100
Amrani :
Uhrd
2026-09-26 12:35:18
0
rukiya.ahmed42
Rukiya ahmed :
kwani alifungwa
2026-09-26 20:03:36
0
frankissa300
frank :
Mechi ilixhaje mwendelezo pls🥺🥺🥺
2026-09-26 12:04:11
0
7by_qifdyz
Qifdyz :
2026-09-26 22:22:42
0
user4412439929978
baraka :
na bado alitoa penart
2026-09-25 21:58:23
0
langujina
Lusinde :
ni ujinga tu maana kipa aliokoa moja na wao walikosa mbili ila kipa alifanya kazi yake vizuri michezaji ikaenda kukosa penalty 2au hilo hamlioni!
2026-09-26 06:52:27
0
cassy1gamer
Cassy1Gamer :
man city watupatie hili kombe letu sasa🤣
2026-09-27 00:21:39
0
macky_de_card
macky-de-card :
chalsea tumeona mengii na Bado gulitema penati mbili💙🤍
2026-09-26 05:06:32
0
parker25529
parker255 :
kepa ni kolikipa wa Asenal
2026-09-26 08:40:23
0
user3250287757263
cute nanah :
alafu hii ilikua ndio mechi yamwisho kwa kocha akipoteza hana kaz ila ukaidi wakipa ndio ulimohanya kocha abakie maan mwisho wa mchez kipa alipokataa ilikua so maamuzi ten yakocha wala matakwa kocha ndo akabakia kuwa na chelsea
2026-09-26 07:56:26
0
samwel.zephania7
Samwel Zephania :
2026-09-26 17:16:04
0
To see more videos from user @lihekamedia, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About