@mariejosy4: Mimi nilivyoona mapazia nikajua ni bei ya kawaida 😭😂 Kumbe nimeingia kichwa kichwa😀 mbona vidirisha vyang vidogo tu #tiktoktanzani #tanzaniatiktok #swahilitiktok #mapazia #homedecor

Miss maria🌸
Miss maria🌸
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 25 September 2026 15:57:11 GMT
74910
4635
510
752

Music

Download

Comments

eliiicharm
Eliicharm🦋🫂💫 :
Ndo nmekuon Leo lkn umenifany nichekee saa9 hiii 😂😂
2026-09-27 00:15:12
0
alvinmcnimrods
mausay :
mke wangu alinunua pazia za milion 4 na bado anataka zingine za kubadilisha
2026-09-26 05:35:00
89
jessies908
💕Just Me🌸 :
We hushtuki watu wanaacha kaz zao uko wanakuja kupima madirisha
2026-09-25 17:57:21
336
emrah120
aslihan :
ooohh my gwaaaadeee 😅😅
2026-09-27 22:34:13
0
brushesofbrian
brushesofbrian :
Ooh my gwaade
2026-09-27 06:10:18
0
masterpiece_369
Her❤️🌹 :
Nimetoka kuyanunua ya nyumba nzima and let me tell you nyumba imependeza lkn financially I need prayers 😂
2026-09-25 17:42:41
215
_rehmor2
𝑅𝑒𝒽𝓂𝑜𝓇♡🫧 :
Mimi nilinunua za madilisha mawili tu 357,500 🥺
2026-09-26 05:16:05
20
lillah388
Lillah🌸 :
Kwanza unapokea quotation😂
2026-09-25 21:22:25
44
refined_judith
masterpiece🦋 :
Puma urefu wa dirisha,Nenda cabs nunua vitambaa vya mapazia (double ukubwa wa paziaeg dirisha 3M kitambaa nunua mita 6) mafundi wapo nje apo apo wanakushonea ni nafuu sana mi nilitumia kama 200k tu madirisha matatu
2026-09-26 14:40:23
45
judithmollel
judithmollel0 :
Mm nliambiwa million 1.5 pazia set 2
2026-09-26 07:04:44
0
madamefinancial
madamefinancial :
Kununua kitambaa nishone kwa fundi wangu mwenyeywe shingapi?🤔
2026-09-26 08:18:55
8
kelisa_dave
KELISA HOME DECOR CHUNYA :
Jamn vitu vzur ni ghalama ukiona nyumba ya mti inapendeza mpe tu hongera
2026-09-25 18:05:21
19
user5838413820292
aggievivie :
650 ilinitoka 😭
2026-09-25 17:33:55
10
elyn_store
elyn_store :
😂😂😂😂😂mdogo angu we jau sana😂😂😂😂
2026-09-25 16:49:25
10
collinesgirl
colline's girl 🌹 :
wacha niendeleee kutumia kanga kama pazia
2026-09-26 05:13:31
6
officialgkiko
officialgkiko :
Tuache kuchukulia vitu vya watu poa
2026-09-25 17:54:50
8
hannans_delight
Hannan’s delight :
Mi nilitengeneza za nyumba nzima 3M hapa nawaza kubadilisha nachoka🤣🤣🤣
2026-09-26 06:28:51
7
tedrina_e
Teddy🧚🏼‍♀️🧚🏼‍♀️ :
Niliuliza bhana nikaambiwa moja yan sijui hiz centimeter sijui nn makadirio ya chini 195,000 na dirishan inabidi yakae mawili na les moja nyumba inamadirisha saba😩😩😩😩😩😩😩😩😩
2026-09-26 14:37:50
8
gee45277
Geey💞💋 :
mimi madirisha 5 ndo laki 950 na less zake za kushona ishu ni ukifua unaeka nn sina hela ya mengine🤣🤣🤣 sifuii ngoo
2026-09-25 19:06:38
8
ladynaa47
Dee_decor tz🇹🇿 :
Karibu mwaya ntakupunguzia bei umenifanya nicheke yoooh😂😂😂
2026-09-25 19:14:15
9
neyrose28
NeyRose🌹 :
Mwenetu Asante kwa kunishtua ningeaibika mie
2026-09-25 17:02:25
8
salim_sportwear
Salim_sportwear :
Hiyo hela nisaidie mim nilipe kodi miaka 3 😁😁
2026-09-27 07:07:08
0
kilumbinana
baby accesories tz :
umeongea kwa ucheungu pole.sana
2026-09-27 11:21:12
1
callmebimbo1
IT'S BIMBO_OKAFOR💜🌸 :
nunua weka marinda kama ya sket ya shule bhna new design
2026-09-28 03:47:52
0
miaruby61
Mia :
Mimi nanunua dirisha moja moja😂😂
2026-09-27 13:49:17
0
To see more videos from user @mariejosy4, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About