Huwezi mjua mtu sahihi wakija wanakua kama njiwa lakini wanabadilka.
2026-09-26 19:01:31
197
❤️Hidaya💕💞 :
Usilie mummy bado unayo nafasi ya kuanza upya
2026-09-26 05:34:35
84
Gelline Hamis ♋️ :
Ahsante madam mimi swala lakuzaa acha tu nilisikie kwa mabest zangu 🥹🥹🙌
2026-09-26 16:32:17
74
Irene cute💜🩸🫦 :
Mimi kama binti mwenye miaka 24 ,ambaye sijapata bahati kukaa na mama na baba yangu toka darasa la tatu nakuelewa😭😭😭, na ninaumia hadi leo naumia sana natamani siku wangekaa pamoja niwaone wakitabasamu sijawahi kuona naumia sana
2026-09-26 20:42:26
54
user900438120912 :
lakini Bado Kuna wanaume wazuri dada ,Mimi nimeachiwa watoto 4 na mama yao yupo hata simu haongei na watoto Wake aibu, lakini nipo peke yangu watoto wote nimepeleka shule za kulala ,tunakutana likizo tuu na Wana Raha kama Nini, naishi na kijana wangu wa kazi apa nyumbani kama padre mdogo angu, please siyo nyie tuu hata sisi wananume tunaachiwa watoto mamaa, jitahidi ukae na watoto wako hata mwaka mara 3 hasa wakati wa likizo,
2026-09-25 20:24:39
27
Ummy🌸 :
kupata mtu sahihi ni bahati tuu tuombe mungu kwasabab siyo rahis kujua
2026-09-27 11:38:11
33
binti sayun :
Sasa jaman unawezaje kumfahamu binadamu vyakutosha??? ni Mungu tuu atusaidie wanawake maana Wanaume wengi wanabadilika ndo shida.
2026-09-26 04:40:25
14
jeshi :
hisia zimevurugua watu weng sana maisha
2026-09-26 12:22:51
37
beatriceurassa812 :
🤣🤣🤣🤣wanaume !!!! loooh!!! sna ham mimi pole mwaya
2026-09-25 16:42:20
8
user9169740230488 :
Mm tumetengana na baba yao lakni ni mwaka wa sita nakaa nao nilishagoma hawa ni watoto wangu wanakula ninachokula mm
2026-09-26 07:56:19
31
Jacquelyn Kissey :
aki hata utume milion kun vile utaumia tu woii kam ujapitia huwez muelewa
2026-09-26 07:03:08
17
Vaileth Shack :
tupo wengi kwa kweli but me watoto zangu nilishasema nitalala nao Hata kwa mtaro yaani cwezi mpa mbwa WA mtu mtoto wangu Mimi Nina wawili napambana nao nasomesha private nishakuwa mama mikopo sababu ya wanangu yaani kuliko nimpe mwanaume watoto wangu Bola nimwambie sio wako tumalize mchezo
2026-09-26 12:56:26
12
user9981432627542 :
Mimi niliachana na mume wangu na akachukua watoto wangu kwa nguvu sababu ya uchumi nachoshukuru ni hatujawai kua na tofauti kwenye malezi huwaga nawachukua shule zikifunguka wanarudi kwa baba yao they are now grown they understand
2026-09-26 04:20:43
21
CHAMPION :
mm niliachan na mke wqng mtot akaend kwa bibi yake kutokan na malez hafifu nilimpoteza mtot wangu mpk leo nikikumbuk nabak na maumiv meng pasipo msaad mung abalik wanaoijali familia zao 🙏🙏🙏🙏🙏🙏
2026-09-26 12:55:47
5
Luckyie :
bora umeniambia mapema. kuzaa nikusikie labda kwa radio
2026-09-26 21:09:31
16
𝐬𝐚𝐥𝐦𝐚🦋💕❤ :
akiii nimejikuta nalia so tupo wengi tulio kosea aiseee inaumiza mno 😭😭
2026-09-26 20:36:37
15
Bahati Petro :
pole tupo wengi hata mm pia walichukuliwaaa na hawana baba alishoondoka nimebak mm lakin ndohv kwao hawanitaki ila nililia sana had sahv nimenyamazaaa2
2026-09-26 20:43:03
5
Lizzy💞💞 :
ndio hali ninayo pitia tuliachana akachukua watoto wangu tena wakiwa wadogo wanaitaji upendo wa mama yao ila walichukuliwa na kupelekwa kwa hawala yake huko nako ikashindikana wakapelekwa kijijini nilijaribu kuomba msaada serikalini ila mwenzangu alikuwa na kauli mpaka huko ilabidi nikose kila kitu nilifukuzwa watoto wakiwa wanalia ila sikuwa na namna maumivu niliyo nayo ni kuhusu watoto sijui wanaishi vipi 😭😭😭
2026-09-26 13:43:05
10
Trish richard :
Yani ww ni mm kabisaa
2026-11-10 16:09:32
5
mamylovepomopomo44 :
Yan hii video imenikuta nikiwa nmevaa dera km hili
2026-11-11 15:06:25
5
Furaha :
Nafarijika sana ninapoingia humu nakutana na mambo kama haya nilifikiri mimi tuu ndo napitia hii hali.[Laugh approved]
2026-11-08 07:41:54
5
Elizabeth Laizer :
😭😭😭😭😭😭😭😭nimeandika nikifuta Hadi nimechoka
2026-10-19 13:18:41
8
Hanna been jessy :
Fanya kuwatembelea hata mara mojamoja itakupunguzia maumivu
2026-10-18 13:35:32
5
STAMILI ±254 :
Asante sana daa ila hayo ni maumivu makali sana ila mungu yuko 🤲🤲🙏
2026-09-27 11:59:29
1
To see more videos from user @mchagaa_, please go to the Tikwm
homepage.