@unicollegeshow: Aiseee ILBORIANS sawa Mimi niseme tu igweeeee🙌🙌🙌🙌 mana mmmh!!!!! Hapa bwana unapokelewa Kama ulivokuja 😂😂 Powered by @ubepari_pc x @unicollegeshow x @ranisanitarypad #vimbakichuochuo
namm nilikuwa hivyo ila sasa hivi ni mhasibu naangaika na journal entry
2026-09-25 16:20:59
9
PROFESSOR ALEY :
mdogo wangu yupo form1 lakini hamna kazi
2026-09-25 16:11:56
22
Mamuu wa gajal :
nimeamini mimi sikwenda shule ila nlienda kujifunza kuandika tuu na kuhesabu
2026-09-25 18:47:45
9
Emma ebg :
Nikikumbuka nililipa adda 40,000 na baadae ikapungua 20,000... unalipa 10,000 per term😅 Nakosa hata nguvu ya kwenda kudai adda... Kuna mageuzi kwenye elimu, inawezekana tusiwe tunapopatamani ila kuna kitu kimefanyika. Kudos kwa wahusika
2026-09-25 18:06:55
9
Sonic :
Sasa mimi nilisoma nini hasa 😳😳😳😳😳
2026-09-25 17:00:44
14
☥ Ba Mchaga ☥ :
Ilboru ni noma 🔥🔥🔥
2026-09-25 16:23:54
6
To see more videos from user @unicollegeshow, please go to the Tikwm
homepage.