@nasma7920:

Mrs H❤️❤️❤️🌹
Mrs H❤️❤️❤️🌹
Open In TikTok:
Region: OM
Friday 25 September 2026 16:04:26 GMT
91670
3917
132
523

Music

Download

Comments

catty2481
Catty24 :
jmn kuna mtu anaepitia magumu kama mimi ni mwaka sasa alafu yy at hajali kuna time huwa sipati usingiz kabsaaaa mara nilazwe hospital mungu 🙏🙏🙏😭😭😭😭😭😭😭😭😭
2026-11-15 21:41:25
8
sahmlanashlakh1
𝐊𝐢𝐦 𝐊𝐚𝐧𝐣𝐢🤍🤍 :
Achilia maumivu na akubal yametokea na uyaluhusu yapite
2026-11-03 04:23:55
16
mariammada2
mariammada800 :
kwanza kubali kuwa kilishatokea na huwezi badilisha hilo. pili jisamehe , samehe moyo wako kwa kuubebesha maumivu ambayo hata wewe mwenyewe hukutarajia, na kikubwa cha yote muombe muumba wako kwa yakini ....namaanisha uwe na Imani thabiti kuwa yeye pekee ndo anaweza kukutatulia matatizo ulio nayo.
2026-09-27 06:32:59
7
candymmoja
GLADY💝 :
mm hata nikijipa shughuli na kujisahaulisha bado hua nakumbuka kila kitu ...weeeh nilidhulumiwa utoto wangu haitoki alikilini
2026-09-26 13:34:59
10
seckrin
@officil_semcha- 019 :
inaumiza sanaa natamani hata nipate mtu wakunifaliji japo hata haita kuja kutokea mahali ambapo ulikosea naumia sana 😭
2026-11-15 19:08:21
2
user28944907
LAST GIRLS :
Nipo tu hapa nalia kwa mambo ambayo yamepitq lkn aman imepotea furaha imepoa sijiamin tena najiona kama sio mwanamke jaman duh
2026-11-15 13:57:06
1
mama.faiz42
miliam yanga :
kikubwa ni kumtegemea mungu tu make kama so mungu sizan kama ningekuwepo jaman 😭😭😭
2026-11-20 10:03:13
1
.rechoo
🥰🥵Shellie💋💝💖 :
😭😭 tuko kwa kiatu kimoja dear bt still God yupo na atajibu
2026-11-21 16:36:03
3
user18811753765197
user1881175376519 EVA :
Usiombe kipenz Mung kutie.Nguvu ktk magum ,,mm nasau sna sna hali hiyoo inaniumiza sna [Crying][Crying] ttzo lina ni tesa sna
2026-11-13 20:25:10
1
mynyakitas7
My Nyakitas ❤️ :
ibada kama uko na mawazo meng weka Qur'an itakusaidia sam
2026-09-26 06:51:14
12
nasra.masoud7
Nasra Masoud :
ukiipata na mm nisaidie nahitaj nifute kumbukumbu zote kichwa kichwa kiwe empty nianze moja
2026-09-26 08:35:50
2
nai.tz5
Nai tz :
pole fanya subra na ibada yote utasahaau
2026-09-25 17:04:41
2
mwanapilijuma14
MRS SALIM :
mwenye atapata hio dawa anisaidie yani imefika mda sai siwezi kulala kichwa kuniuma msongo wa mawazo hata niseme nataka kusahau yanajileta eeee jamani nipe usahaulivu niweze kuanza upya kichwa changu kiwe chepesi
2026-09-26 19:54:33
1
bint.awadh
farida :
hauko pekeako my dear mi yangu huja kama movie especially wakati wa kulala naweza hata kukesha😢 ila ni sehemu ya maisha tuliyo pangiwa lazima ingefanyika tu
2026-09-28 02:44:18
0
bosshajj4
HAJI CLEVER🇰🇪🇶🇦 :
fanya ibada sana mtangulize MUNGU Mbele kisha jiweke bzy sana napia cheza game ama kuangalia move itakua rahisi kusahau
2026-09-25 19:53:09
10
tunu.ngole8
tunu ngole :
Pole
2026-11-15 18:00:21
1
dhuhail.collectio
Dhuhail collection :
Mtangulize mungu mbele dear japo Kuna vengine havisahauliki hata ufanye nn maisha Yana siri kali lbda ujipuuzishe 🥰 Hugs to all people wenye wanapitia nyakati kama hizo🫂
2026-09-26 20:11:15
3
being_unique17
Being_Unique :
2026-11-14 18:56:08
1
samrati.yusufu
najimah thabty💫 :
jmn nashidwa niwasimuliaje ni maumivu mungu anipe subra😭😭😭
2026-09-30 16:27:51
0
miracle.emmanuel04
Miracle Emmanuel :
juzi tuu niliwaza hyo kitu
2026-11-09 19:39:54
2
safiya.ally
Dubai to tz collection :
kwaswali Sana na kuomba mungu atakufanyie wepesi insha'Allah
2026-09-26 18:11:34
2
mwinyialikassim
Mwinyi Ali kassim :
ipo mm naijua
2026-09-25 16:11:21
2
kathrynkathryn03
Mama boys ♥️ :
Taja majina mazuri y mungu kila mda, pia imba nyimbo z furaha usiache kusali kila mara ❤️❤️
2026-09-26 21:07:45
2
mawesty.collectio
Ma,westy collection :
usisahau kuniambia ukiipata naitakasana
2026-11-20 06:54:36
2
To see more videos from user @nasma7920, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About