daaah Leo hii nilishika cm nikasema embu ngoja nimpigie baba kwanza nikakumbuka eeeh kumbe tumeshazika mwezi wa pili sasa na siku3 Ya Allah msamehe baba angu na mpe kauli thabiti
2026-09-26 13:41:13
1
Lucky Mama :
😭😭😭😭 Mm niltamani kuongea na mama innallillah
2026-09-26 17:12:42
0
Binti mageni :
😭😭😭😭😭inauma sana
2026-09-26 17:59:22
0
Kulwa Khalidi :
pole sana kipenz
2026-09-26 17:06:39
0
Ashura :
pole mungu akutie nguvu
2026-09-26 16:59:38
0
Zamzam katundu :
innarillah wainnaillah roujuun 😭😭😭😭
2026-09-26 13:59:36
0
Salmooomar :
pole mamii 🥲
2026-09-26 14:30:41
0
mrs A :
😭😭😭😭
2026-09-26 15:02:51
0
user46081688852176 :
inauma sana WALLAH umenikumbusha mchungu mungu awaondolee adhabu za kabuli wazazi wetu awalipe fadhila zao 😭😭😭🙏
2026-09-26 17:20:55
0
Nurdin Abuu :
pole san kipenz
2026-09-26 12:45:49
0
Idd Chivurugo :
mungu awatangulie nakuwasamee madhambi yao
2026-09-26 15:56:28
0
naurat4333 :
Allah awaeke pema peponi penye waja wema wazee wangu wote wawili awatilie nuur makabri Yao awaondoshe adhab za kaburi ameen yarab 😭😭🤲🤲 najamii Islam ameen
2026-09-26 15:48:36
0
𝙋𝘼𝙏 𝙈𝙋𝙊𝙉𝘿𝘼 :
😭😭 mungu muweke mahali pema peponi baba angu
2026-09-26 13:10:33
0
Beby rey❤ :
Tupo wengi😭😭
2026-09-26 17:27:40
0
mima saad61 :
Mimi pia Allah awajaalie jannatul firdaus
2026-09-26 14:57:21
0
Rajabu Zuberi :
ALLHA AKUFANYIE WEPESI SISTER INNSHAAALAH
2026-09-25 17:46:28
0
Rahma store🛍️🛍️ :
Bora wewe hayupo Tena duniani sisi wengine bana zetu wapo lkn hatuwezi kuongea nao wakatiskiliza, na wengine walishakataliwa na baba zao toka wakiwa tumboni hadi leo wanaishi 😭😭😭😭😭
2026-09-26 13:58:43
0
Nadya Rajab :
Ina uma kwakwel usiombe ikakutokea😭😭😭
2026-09-26 19:17:06
0
دين :
Pole sana 😭
2026-09-26 09:02:29
0
user2438622820081 :
Nakuelewa sana kipenzi Allah awape mwanga wazazi wetu waliotangulia katika makaburi yao
2026-09-26 11:57:27
0
Jasmin :
😭mungu awape janatul farthoss wote walio tu tangulia ..Aameen inshaAllah 👏
2026-09-26 11:05:02
0
Dr Leila~Lul Yussuf 🩺💎 :
Same😭😭😭
2026-09-26 10:41:43
0
ajat :
Pole sana mdogo wangu, Allah amuhifadhi pamoja na baba angu pia😂😂
2026-09-26 10:19:42
0
ambusde :
mm piya ni kama ww inauma sana
2026-09-26 15:08:16
0
To see more videos from user @luck.mercy, please go to the Tikwm
homepage.