WOTE WAPO SAWA .
huyu kwanza HAJAKATAZA adhana ya alfajiri yeye alichosema na
kakataza wale wanao ongea alfajiri
(shuka ndio sanda na kitanda ndio kaburi lako) nk
na
huyu wapili kasema aswalatu khairun mina naum hili neno lipo ndani ya adhana ya Alfajiri
hili neno sio kuongea bali ni adhana.
2026-09-25 19:39:07
43
Ashiru Kimaro :
mtume asingefanya Kila kitu yeye n mwanadamu
2026-09-26 05:02:24
4
mkumbihj :
Wote wapo sawa... Hapo wa kwanza amezungumzia uzushi wa wanadi swala, Shaikh Kombo amezungumzia adhana ya alfajir sio kunadi swala
2026-09-26 05:44:03
15
Sugow Farah :
Yule anayekemea bid'ah ktk adhana yupo sahihi kuliko huyo anayetetea bid'ah
sheikh anasema kwamba adhana pekee inatosha kuwaita waislamu au kuwakumbusha waislamu wala sio kuzusha ktk adhana
kuna watu wameongeza bid'ah ktk adhana yani kabla ya adhana anasema "swalah swalah ummati Muhammad swalah!!! kisha baada ya hapo ndipo ataadhini!!!
kwani adhana haitoshi kuwaita watu enyi wapenzi wa bid'ah?
wacheni bid'ah
2026-09-26 04:18:05
7
athmanahmed :
Kulikua hakuna vipanda sauti wakati wa mtume basi tuseme speakers ni uzushi ni biddaa
2026-09-26 05:13:33
3
Swerley :
mbna Mtume hakumkataza Bilal R.A
2026-09-26 03:50:54
6
Abuu_ruwaydah :
sasa mbona wote wako sawaa jaman....huyu wa1 kazungumziaa wale wenye kusem swalaa amka ndugu yanguuu.....na w2 yeye kazungumziaa kuwaamsha watu kwa adhana hasa pale anaposeama aswalatuh khayru mina naum..ni katikaa dhana..ilaa wotee wanapingabileee mtu kaamka sa kumi anaanza kuwattisha watu kitanda ndio jeneza lakoo shuka ndiyo sanda yako hiyoo ndiyo inayopigwah hapa sinkatika maameishoo ya mtume na mwaswahaba zake.....
2026-09-26 06:03:42
8
Man Ngemba :
kama hujaelewa uliza na sio kukata kata clip kuaribu maana Shekh wa kwanza anakemea wale wanaoongezea maneno ya kiswahili ili kutisha watu.
2026-09-26 18:32:14
11
Lawanyonge :
alie anzisha (asalatul-khairul minan naum) ni billable bin rabah pindi alipo fika msikitini na mtume alikua bado kalala na alipo skia hia mtume Mohammed akaikubali na ndio inaendelea mpaka sasa.
2026-09-26 05:21:22
12
Masoud Ali :
Wote wapo sawa
2026-09-26 02:05:53
6
Abdillahi Hussein467 :
aswalatu Khairuminannaum amsha watu wakaswali Kuna ubaya? basi spika siku za maswahaba kulikuwa hamna!
2026-09-25 19:09:02
7
user4665962289064 :
Mm ninavyo elewa adhana tu inatosha ndio mwito wa swala
2026-09-28 10:14:43
1
jombaz :
hizo fujo unazo sema ni muhimu kwetu, zina tukumbusha swala ya asubui
2026-09-26 05:39:13
5
Josephat Bahakaso :
wanatubwekea kweli
2026-09-26 20:08:35
0
Yassin Saburi :
Hapo kuna jazba na hekma katika kuwalingania watu
2026-09-27 10:44:45
1
kibao kikoya :
Bila shaka shkh Kombo amemaanisha adhana.
2026-09-28 10:06:24
0
omibeka :
Wakati wa Mtume (S.A.W) kulikuwa na adhana mbili, moja kabla ya alfajiri na ya pili ni wakati wa alfajiri ya kweli. Huyu Sheikh wa mwanzo anachokemea ni ile tabia ya watu hawatoi adhana ila hunadi kwa maneno. Mfano, "Amka mda wa swala umefika, nakuona unajikunjulia shuka, swala ni bora kuliko usingizi" na mengineyo na kila mmoja kwa staili yake. Ukiangalia ni jambo jema hili ila halipo katika mafundisho ya Mtume wa Allaah (S.A.W.).
2026-09-28 03:14:51
6
@monttero grapher :
labda huwenda ww hujaelew. ila wote wpo saw
2026-09-26 13:38:58
5
Msazi 🇹🇿 :
Yule anaeiga watu kuswali
Anaitwa njia isiyo sahihi ni ana bweka kweli
Namna ya kuita watu kuswali ni Adhana tuuu na si vinginevyo.
wote wako sawa ila wa kwanza watu wengi hawamuelewi anamaanisha nni hawa wanaonweka sio wale walioko ndan ya mskiti kuadhini bala hua wanazunguuka nyumba had had nyumba kusema swalaa swalaa hio ndio haiko katka Dini bali kw adhana hio iko swa wala hawa hawajapingana pia nia yao moja ukiwaskiza vizur
2026-09-26 16:49:03
1
saed ameer :
Mtume Muhammad S.A.W hakutumia speaker
2026-09-26 13:37:34
2
suleimanmohamed423 :
mi nilivo elewa hii huyu shekh wa kwanz ana ongelelea wale wanao piga kelele swala swala swalaa bilal hakufanya sana n mara mbili tuh kama adhana inavo enda ila kuongez kelel izo ndio apo anapo ongelele wote wako sawa ila labda ufaham wa kuwaelewa ndio shida
2026-09-27 18:02:29
1
Issa Fundi :
innamal a'maal binniyah
2026-09-30 16:24:55
1
To see more videos from user @kheryonlinetv, please go to the Tikwm
homepage.