unapita Mahali watoto wanacheza ball wanasimama wanasema respect
2026-09-26 08:24:37
11
000 :
kuna mwenye alinisalimia shikamoo mama😂
2026-09-26 17:23:44
1
Jully ndung'u :
Mimi nilisha Kua mhenga nikakua mhengusi hadi naendaga nikiokota miiba barabarani isindunge watoto 😅😅
2026-09-26 18:56:38
3
Lian💓 :
Mm Hadi wengine huwa wananiambia auntie c utu buyie kitu
2026-09-26 13:55:06
4
🥵🥵jojo🥵💝 :
mm nilieda kuchuna kahawa nikapatana na watoi wakaanza kuniita shosh adi nikasimama🤣🤣🤣🤣
2026-09-26 12:01:56
1
Being _Wendy🍒 :
mwingine alisema ati ngoja usigonge mmama ya wenyewe na bike ngoja apite kwanza 😂 Since then hilo dera nlikua nimevaa sivai tena nikitoka nje wueee
2026-09-26 18:43:03
1
𝑷𝒂𝒖𝒍𝒊𝒏𝒆 𝑴𝒂𝒕𝒊𝒌𝒐 :
Inauma😔Ebu kwanza mniambie hii stage inaanzia umri gani ndyo nijue niko wapi pia mimi niache kuwa confused 😂😂😂😂
2026-09-26 15:12:23
0
Susan musyoka :
Kwanza kama wakicheza ball ..unaskia respect......😂😂😂😂😂
2026-09-26 09:29:01
1
IT'S CUTE DAMA💫💫✴️ :
😂😂😂😂ata wahenga hawawezi amini hivyo
2026-09-26 06:24:47
0
shãron❣️. :
😂😂😂😂😂😂😂
2026-09-26 05:50:24
0
Betty Wanjiru62 :
nilipitia place flani mtaani watoto walikua wanacheza Mpira,, nikaskia mmoja ameshout, "guys, respect please" wakawacha kucheza Mpaka nikimaliza kupita. 😅
2026-09-25 20:20:43
0
Joanne🥰🥰 :
shikamo 😂😂😅
2026-09-25 20:02:31
0
𝑱𝒂𝒏𝒆𝒋𝒂𝒛𝒛𝒚98 :
🤣🤣
2026-09-25 17:30:49
0
🌹Grace :
wakisema respect
2026-09-25 18:53:06
3
Beatrice Ngatia :
2026-09-25 18:55:29
0
highlyfavoured808 :
Mombasa waliniambia shikamoo
2026-09-25 18:55:12
0
To see more videos from user @12cira2, please go to the Tikwm
homepage.