Kuna comment nazitafuta humu sizioni nitarud baadae 😁
2026-09-25 17:33:40
22
baby ker :
🥰🥰🥰🥰 sjui at nisemej jmn heshim kwenu nice
2026-09-25 21:58:54
0
fadhilah :
wimbo mzur ila dizaina akamatweee[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-09-25 19:02:49
7
Happie.de.Giga :
chobis_ twins wanajuwa n wanajuwa tena[Heartwarming]
2026-09-25 18:51:07
0
tamalinjamilla :
Humu stuu chobis twins🥰🥰🥰🥰
2026-09-25 18:37:43
0
cy :
i love this motherfuckers🥰🥰🥰🥰
2026-09-25 16:46:21
3
🦋dee💜 :
Nambaa helaaa anguuu bhn nilipataaa😏
2026-09-25 19:05:40
6
nourcollection🦋 :
huyu wakushoto siez ishi bila yeye🥰
2026-09-25 18:10:54
7
fabicshlidoro :
my favourite duo
2026-09-25 16:45:44
0
Mariam Edward :
mwimbo unaitwa siri
2026-09-25 17:57:08
1
Asma Ahmed :
niacheni nilie😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭sujamaliza kuumia na sio kwa ubaya mumenichapa na hii hali nilo nayo wacha niuguze moyo😭😭😭😭😭
2026-09-25 17:47:10
9
user3735939982117 :
💝 ladies 💖💖💖
2026-09-25 18:28:50
0
Amarah Mohani gii :
🥰🥰🥰🥰 nawapenda mungu anipe kama nyie
2026-09-25 18:39:32
3
Fatma Ambar :
Asanteee
2026-09-25 18:47:46
0
Jullyhb Diwan :
ila nyie wadada mnajuwa sana niliposikiaga tu wimbo wa kwanza nikawadm na kuwaambia niko tayal kuwasimamia lkn hamjujibu
2026-09-25 19:56:46
1
soldier :
mmependeza vipenzi ♥️♥️♥️♥️
2026-09-25 20:36:56
1
mkinga girl :
mnaimba nyiny nalia 😭😭😭😭mm jamn kama mmeniona na huyu mpenz wang dhaaa
2026-09-25 21:52:20
0
🌹MANENO 🌹YA🌹 DHAHABU🌹 :
wakushoto Alie valia bluu mpe Salam zangu mwambie kuanzia Leo anitafute ili nianze kumganda na kumng'ang'ania nime mpenda [Heartwarming][Red heart][Red heart][Red heart][Red heart]
2026-09-25 19:55:28
2
lucy :
nyie mnajua bhn
2026-09-25 19:12:05
1
Honedy Tz R&B :
Kwaukali pacha wenzangu😁😁😁
2026-09-25 19:46:09
1
kimbesa isaac :
this song nimeitafuta vidmate siipati
2026-09-25 20:36:27
0
fesari💗 :
sijalal nasbr new challenge na siioni nisha view prf adi nimechoka au nilale au nisbr usk sa sita ndo nilale 🤣🤣🤣🤣🤣
2026-09-25 20:29:34
1
Kipenzi cha mamangu :
pesa yangu ya kukisia jina la nyimbo
2026-09-25 18:39:45
2
bepha familly :
nyie dada nawapenda sana me pia nina pacha ivyo nawapenda sana aisee ingoma tam san
2026-09-25 16:51:08
4
user66762116687280 :
nyimbo nzul🌹🌹
2026-09-25 18:16:07
1
To see more videos from user @chobis_twins, please go to the Tikwm
homepage.