@crown_photographer: LEO NI KIVUMBI DARAJA BOVU IYO🙌🙌🙌👰‍♀️

crown_photographer9
crown_photographer9
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 25 September 2026 16:43:27 GMT
36482
794
188
690

Music

Download

Comments

tasha.ali29
tasha ali :
Nihadisieni vizur cjafaham k2 😅
2026-09-25 23:28:50
0
officialsiyah
SIYAH🤎 :
Hii daraja bovu au milango mibovu
2026-09-25 19:12:47
42
user739429790209
mamup31 :
ongeeen Mmoj mmoj hatuelewn jmn🤣🤣🤣🤣
2026-09-25 18:34:28
13
muney_312
@muney_312 😍❤😍 :
oh my Gwaaaaad mlango washawalaza uchi leo[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-09-25 19:12:25
0
sophies_choise26
miss_canna❤️ :
me nasema mume wang asije akafanyiwa hivi ntakuja kutoka ndan nipige mtu😂😂😂
2026-09-25 18:50:36
32
thaniya.haji6
Thaniya Haji :
nimecheka mpaka bc [Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-09-25 19:41:15
1
ss17249
S&S🥰🥰 :
mutanikuta nyumban atakuja mwenyewe [Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-09-25 18:43:58
0
asma36022
Asma :
harusi imeisha sasa tulale mlago wazi jmn 😂😂😂😂
2026-09-25 18:06:21
29
pata.wewe
patawewe :
itabidi tuchunguze bwana hakuja na bulldozer mana mlango haukusumbua [Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-09-25 19:53:54
0
user36973056006253
cute naa🥰🥰🥰 :
bwana harus hatak masiharaa😂😂😂😂
2026-09-25 18:52:25
9
raykh66
Rey :
kaka angu aliletewa mke saa 7 za usku kwa ujinga kma huu na walipofika hatukufungua milango watu wakajifanya washalala wakalal kwenye gari mpka asubuhi 😂 kwasbb baba wa biharusi alimwambia mke wake ukirud nae uyo na ww nishakuacha 😂 ilikua kazi sku ile ila huu ujinga tuacheni jmn
2026-09-25 19:46:53
15
abla.ima
Abla ima🥰 :
ooh my gwad
2026-09-25 19:30:55
0
samaltech
Samaltech :
Tunakoelekea mabwana harusi tutakuja na defender kuoa😁
2026-09-25 21:07:16
3
mamydida631
Mamy Dida :
mahari nitowe na pia kuchukuwa mke nitowe pesa jmn 🤔🤔🤔
2026-09-25 18:38:15
4
rahlatty2
Rahlatty :
ndoa washaitia nuhusi 😳
2026-09-25 20:32:13
1
user8280021842781
zulfa :
ikifika mdaa huu sipendii
2026-09-25 18:44:00
5
neera_makeup_artist
neera_makeup artist :
kaka yangu hapo asamehe mke aondoka mkitaka mtampelekea
2026-09-25 18:27:08
11
gemini_kween0806
RFJ ♊️🇦🇪 :
Sasa tumsikize nani? Dj ongeza sauti ahh
2026-09-25 20:59:09
2
dzuu6
@ :
jmni siri za za watu tuficheni jmn
2026-09-25 19:25:25
0
anilliyyah
ANILLIYYAH❤️ :
Sipendi watu wagombane siku yaharusi , siku muhimu siku yafuraha watu wanapigana ,Yani jambo laheri watu wazima wanalitia gundu 🫩
2026-09-25 21:49:50
2
nuorykha99
Nuorykha ~99 :
kwanii vp jmn mm nieleweshenii bsiiiiiiiiiiii nini kinaendeleeaaaaa😂😂😂😂😂😂😂
2026-09-25 18:44:23
3
quuenlaty
💫💞 :
oh my gwaaaad mlango
2026-09-25 18:34:45
4
farhola_09
Farhola cake /makeup💄🎂 :
mlongo jmn mlngo
2026-09-25 18:42:30
2
izzacollection3
Izza collection :
2026-09-25 19:15:56
1
haulat.mohd3
laty🥰 :
utani mwengn jamny 😳
2026-09-25 18:22:09
2
To see more videos from user @crown_photographer, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About