@david.kiwool: #creatorsearchinsights #swahilimotivation1 #greenscreen #fyp #tanzaniantiktok🇹🇿 Makkah saud Arabia

David kiwool PODCAST
David kiwool PODCAST
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 25 September 2026 16:48:41 GMT
54786
1483
228
76

Music

Download

Comments

user3103612328872
¥©UÑG @ẞD¥. ÎSR@£L :
lengo kipiga apo sio kuwa unampiga shetani ila iyo sehemu ndio sehemu nabii Ibrahim (a.s) aliompiga mawe shetani wakati shetani anamzuia asimchinje mwanae Ismail, kwaiyo kitendo hiko ndio tunakienzi kuwa na sisi tunamuunga mkono nabii Ibrahim
2026-09-25 19:09:35
19
hassanimjenga257
mjenga moyo :
vipi kuisu vilema wanaotembea maknisani nikweli
2026-09-25 17:07:05
10
msuya04
Satrishi 🤠. :
sikia ndugu achanaaaa na unafki kweny mambo ya diniiiii[Innocent]
2026-09-26 13:58:10
3
amanithomas730
Amani Thomas :
hizi ditu hizi mm naamini Mungu hapatikani kwa dini lazima umuamini Yesu binafsi
2026-09-25 18:13:41
8
mzulwaamiri
mzulwa masasi :
lengo sio kumpiga shetani hiyo ni ishara ya kumpinga shetani. maana shetani sio kiumbe bali shetani ni tabia aliyonayo mwanadamu au jini kumshawishi mengine kutenda zambi.
2026-09-25 21:04:43
2
sulleymankipingu
MAN SULLE💀📸 :
iyo ni kumbukizi Kwa alicho kifanya nabii Ibrahim
2026-09-26 08:48:28
1
user7326693588720
mbwana 29 :
vip kuhusu mafuta ya upako utatwambia yametokana na nini
2026-09-25 20:00:29
2
mwasaa.wiliam
FAITH CRESPO ✝️ :
wislam niwenda wazim
2026-09-26 21:22:21
4
user8145193230062
ismail baruth :
nikama vire unapo azimisha kuzariwa kwa yesu. anakua amezarewa kweli?
2026-09-25 23:21:59
3
mdasi_
Mr amazing :
Vipi kuhusu ile Damu ya Yesu
2026-09-26 07:12:14
1
jumbekassim
JK wa Tatu :
ila unaweza kuelewa hapo mwanzo kulikuwa na neno na neno akamzaa bwana .
2026-09-25 18:31:33
6
user7229230932785
JR🇹🇿 :
aikuusu dini hairuusu kukurezea
2026-09-25 16:54:27
0
user7588246107961
MASOUD_OUTFIT :
utaelezewa kaka Wala usijali ukijilidhisha usisite kusema ukweli
2026-09-26 13:01:22
0
deejay.masai
PRODJ MASAI :
yesu analudi
2026-09-26 23:51:24
3
clarlsc
Charles :
Nashkuru Allah kwa kunielekeza kwa dini ya ki islam, na maka na kaaba imetajwa kwa bible
2026-09-26 11:26:27
0
user4695075293778
mr alone :
njoo kwenye dini ya kweli ndugu
2026-09-25 21:22:31
1
user6906154665307
user :
dini dini dini me sio mfia dini asant akili yangu
2026-09-26 08:43:36
1
nelvin.chaggaboy
Last Born :
Hakika Kwa YESU kuzur
2026-09-30 10:09:36
3
daviepius1
reydaviepius1🇰🇪🫶 :
ni ukomendy tu😂
2026-09-25 19:40:10
0
jay.my.g
jay my G :
YESU NI MUNGU
2026-09-27 10:10:06
2
stephenkariuki373
stephenkariuki373 :
2026-09-25 23:24:31
0
yussor02
Yuh.lyrics🎙 :
tukiongelea dini kaka tunakufulu
2026-09-26 10:44:05
0
johnchenja
Johnijoh Manijoh :
mmh ila dini
2026-09-26 05:41:46
0
nicojohn3383
Nico John :
Ibada ya sanamu!
2026-09-26 10:14:00
3
wilbertmsuva2
MSUVA JERSEY POINT :
tuache hili la dini mm binafsi najiulizaga kwanini kwenye logo ya taasisi nyingi za afya duniani kuna alama ya nyoka na mti naomba majibu
2026-09-26 09:18:46
1
To see more videos from user @david.kiwool, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About