@ipmedia_619: Najisikiya raha mm weeee na mwinyi mabati wang aaa😆😆😆🫣#zanzibar @DubaiTV @It's Gone Viral @young africans sports club @DUBAI DUTY FREE

LIM
LIM
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 25 September 2026 16:51:50 GMT
5596
249
18
16

Music

Download

Comments

abraham.ally46
Abraham ally :
kwa nn Sifa zinaenda kwa Raisi haziendi kwa waziri wa miundominu au yupo kivuli tu Hana kazi
2026-09-26 06:34:31
2
fireboyronaldo
fireboyronaldo :
mashaaALLAH
2026-09-26 09:35:07
1
user4749345994211
Mustf :
ammbariki sana sana sio kidogo mungu amueke ampe nguvu za kufanya mazuri zaidi
2026-09-26 05:24:13
2
latfie64
🦋Lattys🦋Heena🦋 :
Kwann umwite mwinyi mabati😂😂
2026-09-26 12:23:36
0
user27534124772928
user27534124772928 :
ALLAH. ambariki. sn. ampe. nguvu. sn. ili. apate. la. kumjibu. ALLAH. kwa. alibofanya
2026-09-26 10:23:43
0
khallar6550
@...khallar 🍁❤️ :
maisha magumu sana pesa akuna pesa aina mzunguko ata kidgo
2026-09-26 12:43:18
0
chamy5272
chamy ❤️❤️ :
Mungu ampe maisha maref
2026-09-26 06:25:18
0
user7720747110262
Omary :
mabati
2026-09-26 04:36:54
0
imtiyazshariff329
Sahil shariff :
sawa ila sahivi znz Iko expensive life vitu vikoo juu sanah
2026-09-26 12:19:24
1
khallar6550
@...khallar 🍁❤️ :
🤣🤣🤣 nicheke mie eti amubariki watu wanalia kwa kupokonywa maeneo Yao madreva wanalia faini za daladala milion1 Alfu munasema sijui nin gonja ninyamaze nisimalize maneno
2026-09-26 12:42:49
1
user4805732886743
aksam ♥️♥️ :
🥰
2026-09-26 02:57:19
0
supernice53
supernice :
😁😁😁
2026-09-25 19:10:15
0
ipmedia_619
LIM :
[Tears of joy]
2026-09-25 21:05:11
0
To see more videos from user @ipmedia_619, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About