Yohana 14:
(John)
6. Yesu akamwambia, Mimi ndimi njia, na kweli, na uzima; mtu haji kwa Baba, ila kwa njia ya mimi.
Jesus said to him, "I am the way, the truth, and the life. No one comes to the Father except through Me.
2026-09-25 17:12:37
8
Linna Chriss :
mungu anisamee Mimi nimetoa mimba mbili cjui sasa najiuliza mungu atanisamee kweli
2026-09-25 19:55:11
4
AGNES P NHIGULA :
amina [Pray][Pray][Pray]
2026-09-25 18:42:20
0
MADAM C.E.O 💵 :
Tutubu nakuamini Mungu yupo na anaishi 🙏
2026-09-25 19:06:40
1
Veronica 💋💋 :
jamn kila nikutubu nalud zambi ile ile mung nisaidie
2026-09-25 19:15:39
0
Mark :
Bwana Yesu nirehemu🙏
2026-09-25 18:49:53
1
Sackoul mwamba :
mungu aturumiye
2026-09-25 17:26:39
2
user9910816082127 :
ole wangu mimi Mungu wa nisamehe maana nakutenda dhambi Mungu wangu
2026-09-25 20:01:37
1
joseph linus :
🙏🙏amina mtumishi maranyingi unanibariki sana nikisikia mahubiri yako
2026-09-25 19:16:30
1
belinda Sabo :
Mungu atuhurumie
2026-09-25 17:20:47
1
Naomi Chege :
Amen...Mungu nipe inayobondeka na kunyunyekea kwako nisamehe dhambi zangu Mungu mwenye huruma na neema
2026-09-25 19:39:01
1
linusi :
aminaaaàaaaaaàaaaaaaaaaaaaaaaaa
2026-09-25 20:03:42
1
Abdull Deus :
amina
2026-09-25 17:19:29
1
Stefano pascal :
amen
2026-09-25 17:06:23
2
Melichades Felician :
Aminaa
2026-09-25 17:45:22
1
Mama Gift :
mungu nihurumir kwa maana nimwenye dhambi kuanzia saai natubu mbele yko
2026-09-25 17:57:28
1
say :
amen
2026-09-25 17:53:17
1
MONTANA 🇹🇿FASHION 🇲🇼 :
amen
2026-09-25 17:15:11
1
Elizabeth Nanjala :
amen 🙏 🙏 🙏 🙏 😭😭😭
2026-09-25 17:14:45
1
Joy Joy mamake twins :
huwa unanibariki sana 😭😭
2026-09-25 18:56:26
1
nicole :
amen amen amen 🙏🙏🙏🙏
2026-09-26 00:00:26
0
Princess ever :
BABA MUNGU nirehemu naomba nikumbuke siku ya mwisho
2026-09-25 23:18:46
0
Emmaculate :
Hakika YESU anarudi, Mungu tusamehe dhambi zetu
2026-09-25 23:22:44
0
tee jay :
wika wila hapa but shule ni lazima uende...tutakutafuta,,tutakushika,,tutakununulia uniform na viatu..na tutakupeleka shule upended usipende
2026-09-25 22:29:48
0
JÉSUS CHRIST EST VIVANT :
amina
2026-09-26 00:25:16
0
To see more videos from user @mwinjilistiedwin, please go to the Tikwm
homepage.