@travis_tz3: ila mapenz bna 🔥🔥🥰@TRAVIS TZ BACKUP 🇹🇿 #couplegoals #kenyantiktok🇰🇪 #tanzaniantiktok🇹🇿 #travistz #ugandatiktok

TRAVIS_TZ🇹🇿🌎
TRAVIS_TZ🇹🇿🌎
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 25 September 2026 17:11:19 GMT
610602
58002
964
599

Music

Download

Comments

ceejulie2
💦❤️🥰CUPID🦋🦋🥰🔐 :
Natafuta boyfriend Tz😂♥️🥰
2026-09-28 19:54:07
0
hubbie360
@it's me :
challenge hiz mbn me hazinikutii mana natak kuachana na mtuu jmn uwiiiii
2026-09-26 09:24:06
373
stephenenea1
kinghenry :
hii challenge 😂😂😂😂 🙌🙌🙌
2026-09-28 14:02:01
0
javany04
javany04 :
Hii challenge isifike 😂😂😂
2026-09-28 12:13:24
0
mama.damian06
mama damian :
wa kwangu angekata simu 🤣🤣🤣
2026-09-25 20:10:42
253
efb_sami
🅢🅐🅜i :
wapenz wangu wote watatu wanaitwa Irene
2026-09-26 13:10:23
98
www.nicky39
Nicky 39 :
nishagundua cha muhimu kila demu unamwambia jina tofauti🤣🤣
2026-09-25 19:16:38
479
tcmily4
𝑒𝓂𝓂𝓎🌸❤️ :
goosebumps 😂
2026-09-27 11:51:33
3
user81253835494938
rey :
mm ni mke wa ndoa takatifu lakn hii challenge akifanyiwa mume wangu nadhani hatonitaja🤣🤣🤣
2026-09-26 04:19:46
210
barikikivunja
Kivunja Jr_Official :
mtaachana tu.🙌
2026-09-26 08:51:35
9
user67115259794546
💃Ren👻😜 :
me nisingetajwa jamani 😂😂😂😂😂😂😂
2026-09-25 18:07:37
71
furahayusuph5
♥♥furaha🦋🦋✨🎀 :
vina muda basii🤣
2026-09-25 21:00:43
8
cute64831
💗PINK WITE💞💞 :
arusha wa aminifu ila dar
2026-09-26 04:02:14
45
hermosahwittie
❝✧₩ⁱ𝑡пԑ𝘴ઽ💘❀♦⪼ :
kina wity 😂
2026-09-25 20:05:12
4
salavianagodfreyk
salavianagodfreyk :
upendo unaleta amani hadi sisi wasoma koment tumefrahi tumejisikia vizuri
2026-09-26 05:10:02
54
votomani_bizmack
沃托馬尼·比茲馬克 :
kila penzi litaonja umauti
2026-09-27 11:51:52
7
angelkasigwa
angelkasigwa :
Baba kama me nikitimoto nipeleke buchan wakristo wenzangu wanipike rost na ugali nimechoka🫩
2026-09-25 21:18:12
25
official_lee61
Official_Lee61♓️ :
Wangu angekata simu aseme hzo vitu za ufala msini involve😂😂
2026-09-26 12:07:27
14
ruthitumain
Runaa🦋❣️ :
wenye bahati zako me hata sijui kama ninamahusiano🤣🤣🤣
2026-09-26 04:57:42
27
kenedypascal8
Mwinyi Ally :
Daaaah juzi nlikua kwenye Harusi nkakanyaga Waya kwa Bahati mbaya Mziki uka zima X wangu Aka lopoka Huyo ndio Alivyo Akiona Chakula atulii sehemu moja
2026-09-26 07:15:02
32
mam_faah
♍️ :
Mi Hata Hakinitaja Siamini Bhana
2026-09-26 06:47:20
56
user3561171748055
Mrs❤️❤️💘🌹 :
huyo atakuaa kaskia sauti ya huyo kaka akajua hii arusha hii ndo mana akaenda direct 😂😂😂😂😂
2026-09-26 05:00:51
58
miliani2015
miliani :
me wanguu hajibu na hamn Cha kumfanya 😂🙌
2026-09-25 18:43:37
35
user81653008125965
witness ngowi :
... wakian witiiiiii
2026-09-25 18:11:10
15
annahrosadah
Me🇰🇪😜 :
watanzania wanajua kupenda,,,naona nikihamia uko🤣🤣🤣
2026-09-25 17:37:25
24
To see more videos from user @travis_tz3, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About