m nae Bora umgombeze lakn kumpiga naskiaga maini na figo havifanyi kazi aweeeee
2026-09-26 04:05:28
2
user8611023849611 :
😂😂😂😂😂 Yani mi situkani ila tu nawa juwa watoto wangu wapole mtu akiwapiga hawapigi kwa roho nzuri . Ukinifinyiya mtoto kwenye nasema aca wamjuwe mtu roho yake ili kesho wamuogope wenyewe 😂😂
2026-09-25 23:27:14
0
Eddy Charming74 :
Mm alhamdulillah wtt wng sio wagomvi sasa niskie uko nje analia kuna mtu kampga nikihoji nikakuta hana kosa hee apo ndo utanijua mm ni nani
2026-09-26 10:05:17
0
sasiokelo :
kwanini umfinye au umpige kusomesha siyo kupiga
2026-09-25 20:04:25
0
SKIMMERER :
🤣
2026-09-25 20:24:49
0
To see more videos from user @ahmadimaliki1, please go to the Tikwm
homepage.