@official_dariodavid: Kuna nyakati maisha yanatufanya tujisikie tumepotea, tumechoka na hatujui tumaini letu liko wapi. Lakini ndani ya Mungu kuna mahali pa kupumzisha moyo, kuanza tena na kupata nguvu mpya. 🙏🏽 Si kwa sababu tunastahili, bali kwa sababu rehema zake bado zinatufikia kila siku. Bwana, usituache mbali na Wewe; tuvute karibu nawe na utufundishe kukutegemea katika kila hatua ya maisha yetu. 🤍🙏🏽 #trendingvideos #fypシ #tiktokviral #tanzaniantiktok🇹🇿 #creatorsearchinsights @The Josh

Dario David Lucas
Dario David Lucas
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 25 September 2026 17:29:29 GMT
53516
5430
194
202

Music

Download

Comments

blackminted
BLACKminty :
amazing song all the way from 🇿🇦🇿🇦🇿🇦🇿🇦
2026-09-26 06:01:52
1
nwa_na_mma
nwa_na_mma🦋 :
me everything i hear this song!!!!🥰
2026-09-26 11:13:47
2
brightyuvenaly
Baby B :
Kaka anaeimba Ana sauti nzuri sana[Heartwarming][Heartwarming]
2026-09-26 12:14:50
4
sakinyi4
Miss.Ogunde🧚‍♂️💕 :
omg heaven is gonna be sweet 🥰🥰
2026-09-26 06:51:00
1
bernardsiamalube
LuchayaBS 👑🤝 :
Energy on point
2026-09-26 10:11:35
1
vajero_vall
It's Vall🇰🇪 :
wakenya nimewaacha Mimi natafuta mchumba kutoka kwa mama Suluhu 😂
2026-09-26 05:20:08
24
gluck605
G mom🩵💙🦋🫂 :
Humu tu kwa Yesu raha bhn😁
2026-09-26 06:49:37
13
thejosh81
The Josh :
Me sijakuona Bado [Feu][Feu]
2026-09-25 20:33:27
10
derry382
derry382 :
This lady is goooooooooooooooooood🔥🔥 what!!!
2026-09-26 12:45:46
3
barbrawell
Stephie Babrawell💋 :
Hii live Kwani haiko YT jameni ?nimetafutaaaa
2026-09-26 13:45:31
1
lorrynen
A lady in scrubs :
Tunaanza upyaaaaaaaa🥰🥰
2026-09-25 19:47:37
14
official255dollars5
official255dollars5 :
Nimebarikiwa sana sana mungu awatie nguvuzaidi moto🔥 umewaka 🙏
2026-09-26 10:12:11
2
pastor_elias_john
Pastor Elias John :
Huyo dada aliyemaliza hapo 🔥🔥🔥
2026-09-25 21:09:04
7
fey7009
fey :
ni wapi huku niwe nakuja
2026-09-26 13:11:35
1
user9343203939513
Chef McLean :
the bass boy💪
2026-09-26 06:11:48
1
mariamsayari8
mamii 🌹 :
2026-09-26 05:59:21
2
mr.rocky186
Mr Rocky :
Kazi nzuri sana hongereni sana
2026-09-25 20:09:29
5
simply_pam6
Paulina❤️ :
2026-09-26 10:07:05
1
lidya.mollel3
Mrs.Hassanati ❤️ 🔐 :
Halafu kuna mtu anatoa kiingilio cha CLUB wakati kwa YESU ni full shangwe. Nitamwimbia MUNGU wangu hadi mwisho wa uhai wangu.🙏
2026-09-26 13:13:08
1
claries277
claris😘😘😘😘 :
baaass..hii ni moto
2026-09-26 11:03:21
1
epa.director257
Epa Director+257 :
huuuu
2026-09-26 11:08:11
1
edinahsbridalworld1
Edinahs Bridal World :
2026-09-26 06:25:46
1
littestjojo
Jojo :
2026-09-26 06:41:36
1
debbierue
DebbieRue07 :
2026-09-26 06:13:57
1
denysnkundumukiza
Historian Denys :
Am From 🇷🇼
2026-09-26 05:32:17
2
To see more videos from user @official_dariodavid, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About