shukran boss kwa daw zako ila nko na ndug yang kupata choo kwake mtia kashaenda hospital mara nying lkin wap anaez akae kwa mwez aende haj mara mbili [Pray][Pray][Pray]
2026-09-25 18:55:46
0
BANKAI👹 :
kiongozi shukrani sana kwa ushauri ila naomba unisaidie dawa ya magoti mama yangu yanamsumbua sana pleas help
2026-09-25 17:38:46
3
Mary diamocy :
Hii inasaidia maumivu ya kiuno ?
2026-09-26 00:47:56
0
muu :
dawa kizunguzungu jaman maana duh💔
2026-09-26 07:03:05
0
T.u.r.k.i.s.h💃❤️ :
aah dr yakurekebisha hedhi jamn 😫🥹
2026-09-25 19:15:53
0
b.l.e.s.s.i.n.g_♓️ :
Nahitaji hii dawa sijui nitaipata wapi🤔
2026-09-25 21:25:44
0
vothae_BG :
Dawa ya maumivu ya mgongo ni ipi pamoja na miguu kuwa na dalili za kufa ngazi
2026-09-25 19:23:46
0
zainabukwata :
nina mgonjwa jamani ameanza iyo ali tangia juzi analalamika sana
2026-09-25 19:05:38
0
Ansuh💫 :
@shanga point handmade dizain👌 rabda hii itakussidia
2026-09-26 17:52:22
0
To see more videos from user @vigourhealth, please go to the Tikwm
homepage.