Kuna watu hawajui kama Mwl Nyerere ndo alikwamisha Muungano wa Africa ,harakati za Kwame Nkurumah🥵🥵 ila alikuja kujutia mawazo yake
2026-09-26 06:27:58
7
heaven child :
uyu tusipo zingatia atakuja kututenganisha
2026-09-26 10:47:57
5
Sume Rossini :
Watu hawajui kuwa wazanzibari hawawezi kukubali muungano uvunjwe. CCM Zanzibar wanautumia muungano kama ulinzi wa 'mapinduzi' yao
2026-09-26 22:43:18
3
johannes :
very true muungano siungi mkono
2026-09-25 20:01:20
6
AleeStunna :
Niko na Rais Tundu Antipas Lissu
2026-09-26 17:05:44
9
mudrick :
kuna jambo halijakaa sawa unataka zanzibar waombe msaada kwan tanganyika inaomba msaada? inayoomba msaada ni tanzania.
2026-09-27 20:01:42
2
Dpascali ✊️ :
huyu dada huwa anaitwa nani jaman 😳😳
2026-10-21 16:54:23
0
Msafir Andason :
hata mimi muungano siupendi
2026-09-25 18:57:35
8
H. mtundu :
leo tumetawaliwa 😅 da inauma sana
2026-09-26 11:39:46
6
S. Sakilo :
Kama Nyerere alikua ni binadamu na binadamu anakosea. Basi hata wewe Lisu niebinadamu hata isemayo basi tusiyaunge mkono moja kwa moja.
2026-09-26 10:52:04
4
jumaaMartin14 :
mataifa makubwa ya ulaya yenye uwezo kiuchumi wanaungana vip sisi madikini wa kutupa na ni pinching vidogo tusiungane?kikubwa nikurekebidja muungano sio kuvunja muungano.hata mwenyezi mungu anawapenda waja wanao kuwa pamoja anawschukia wenye kufarakana na kuwachukia wanao farikisha pia .huo ni mtazamo wangu
2026-09-25 19:37:44
2
user339315507558 :
sarama. mungu akuweke
2026-09-25 20:24:08
4
Bamje :
Samia anatuburiza kwa sababu ya Muungano huu uchwara
2026-09-27 06:05:34
5
I'm_cdebreazy02 :
Dah, nilichelewa kumuelewa uyu tundi lisu ila ni mtu mwenye akili sanaaa
2026-10-11 09:38:39
2
Muasewamu Kadogo :
na ndo kinachoenda kutokea sasahv
2026-09-26 08:53:53
3
53yassin mosh 53 :
noma sana
2026-10-10 18:42:30
1
JOH :
yawezekana muungano usingekuwepo wale ndugu zetu wale wangekuwa hai kabisa 😢
2026-09-26 19:42:52
4
Mr Mtu Kwetu :
sasa km separation ni ngumu halafu ndio unayoitaka hv una maana gani?
2026-10-04 07:40:08
0
Ninja :
hii hapana
2026-09-26 08:49:42
1
ZANKA TRAINERTZ :
HUYU JAMAA ANAKILI SANAAAAAA : shida ipo hapo
2026-10-21 07:05:51
1
MIFUKO_TZ :
He is not calmly always...He is not living in realistic shouted leader.
2026-09-27 10:44:12
1
kipidu255 :
2026-09-26 12:42:19
1
Baloziofficial :
lakini saiv unasema Zanzibar inawatawala watanganyika ila usimalize maneno mitandao ipo
2026-10-24 08:50:57
0
To see more videos from user @were_one_, please go to the Tikwm
homepage.