Jamani shule ndo hizo zinafungwa mapemaaaa hebu fanyeni haraka sasa wekeni hayo mabasi tukate hizo tiketi watoto wetu wapande hizo VIP ila ala ala huo umeme jamani mana mi naogopaga kiasi nalikimbilia Irizar kwenda Mwanza😂😂😂😂😂😂😂
2026-09-26 08:46:03
0
kijana mpole 🏧✅️ :
umeme
2026-09-26 05:46:07
0
X DUPPY X BENZOO RSA :
boss anajua kwel hili swala 🥰
2026-09-25 19:27:33
0
🇹🇿🌴@Obby🙉🙈 :
mda w kuoga dawa wee endereaa kumuomba uyoo mi simjui lkn mi ntamfata katarama siumeona lkn Scania ngapi izoo tena uku sinyanyui mikono mi wiri ni mmoja gusa achiaa tuondeke bar nama x wote
2026-09-25 22:31:25
1
ÇRÜPÁBBLË :
mtaa kwa mtaa tumewafikia 🤣kama school bus
2026-09-26 11:21:28
0
Dotcom :
Hizi chuma zinakupeleka mpaka mlangoni. kwa heshima
2026-09-26 13:19:20
0
BAFANAog :
mpk mlangon
2026-09-26 18:15:12
0
Mnyama_wolf :
zinaend kwa babu
2026-09-26 18:56:55
0
mc mboneke :
aww izo fezea umeme una pit polini
2026-09-26 10:40:04
0
Che Guevara Charls 🪖 :
Usitikise ma umeme utaacha Ndala 🎸🎸🎸🎸⛔
2026-09-25 19:08:39
0
To see more videos from user @katarama.finests, please go to the Tikwm
homepage.