@bongo_media: video

BONGO MEDIA
BONGO MEDIA
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 25 September 2026 18:07:45 GMT
65831
2108
256
733

Music

Download

Comments

dannycomedian2
Danny Blaze⛎ :
niuwe nasema niuwe... a few moment later..ananiuwaaaaaaaaaaaaaaaaa😂😂😂😂
2026-09-25 19:42:28
129
shuu86054
shuu :
ambao hatuwezi kumaliza video bila kusoma comment tukutane apa😁😁
2026-09-25 20:07:23
83
user4421008261205
innoct199 :
where is camera man😂
2026-09-25 20:01:43
0
faidhaty86
fau❤️ :
inaumiza jamani hii hali
2026-09-25 18:48:15
38
giftbop
John Johnson :
[Laughing][Laughing][Laughing]niuweeee few minutes ananiuaaaaa[Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved]
2026-09-25 20:19:34
2
g.mwarabu7
G mwarabu :
Alaf keshoo my Nimekumiss 😁😁
2026-09-25 20:09:30
18
godwin.samwely
SHIMBA_3 :
sipend maisha ya hivi mm Qyaaaaaaa
2026-09-25 21:23:26
0
juma.james676
Juma James :
😂😂😂niuwe, ananiuwaa 😂😂😂😂😂😂 2eleweje sasa 😂😂😂
2026-09-25 18:26:10
30
vhv569
𝕿𝖆𝖓𝖟𝖆𝖓𝖎𝖆 𝖖𝖊𝖊𝖓𝖘 :
Sipend kuone mwanamke anapigwa kama humtak muache 🥺
2026-09-25 20:47:56
8
asherry1
asherry1 :
Oooh may gwaad 😂 😂
2026-09-25 20:33:42
0
recho63430
Recho 🇹🇿🦒🇴🇲 :
Mm kesho ndo naigia kwenye ndo🤔
2026-09-25 18:55:41
12
khayrathkhayrath
ch@rm!ng💞🌹💓💓 :
Sijui nigair, kesho ndo nakuja tolewa mahali mim jmn
2026-09-25 19:18:29
18
mombillionaire
Bill angels fashion Mwanza :
Tulio single 😳😳😂😂😂😂
2026-09-25 20:46:20
0
catie_melanin1
Butterfly 🦋 :
nyie watoto wanaolelewa kwenye izii familia Wana maumivu makalii sanaa si kitu Cha kufurahia🥹🥹
2026-09-25 20:59:29
15
sarah_muddy
Sarah ♓️ 🇹🇿 :
huyu n mm nikiolewa sasa ukiinua mkono tu kunipga keleleeee nakujazia watu,alaf nakusuuzaa😂 mbn utajuta 😅😅😅
2026-09-25 19:43:52
15
mamamulhat3
mamamulhat3 :
nacheka kama mazuri wakat mm nimetoka kupigwa jna tu😂😂
2026-09-25 20:06:16
8
nassra663
nassra :
masikini mtoto analia😭😭😭
2026-09-25 19:29:54
29
user4765773475692
Naah❤️🫂🥺 :
😅😅😅 Ananiuwaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaah
2026-09-25 19:22:02
11
fatumahassani066
fatumahassani066 :
jamani huyo mtoto Sasa anaelia😭😭
2026-09-25 18:24:37
12
raymimi4
🥰😍 :
mungu akusaidie kipenzi maskin
2026-09-25 19:06:33
9
meghan855
meghanamina2 :
ananiua ,niuwe,niuwe
2026-09-25 19:01:54
5
hamadisalama59gmail.co1
Queen 👑 salma :
niuwe ananiuwaaaà😂😂
2026-09-25 20:22:39
0
lisajoshua07
I’m lisa❤️ :
Na hawaachani mah
2026-09-25 21:04:05
1
itsstella97
-Stellar-🍒 :
Mbona naogopa sasa alf natak kuingia jmn 😂
2026-09-25 19:42:47
0
kimdoli75
kimdoli🫶❤️ :
Sasa amesema amuuwe baada ya kutaka kumuuwa do analia Tena duuu ila maisha bwan kama hujawahi kukutana na hiyo hali bc huwezi elewa kitu🙌🫶
2026-09-25 21:31:55
4
To see more videos from user @bongo_media, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About