@dr_daniel_md: Dalili za awali za ugonjwa wa ini zinaweza kujificha mwilini bila wewe kugundua. 🫀 Katika video hii nimeelezea dalili 10 za mwanzo ambazo zinaweza kuashiria tatizo kwenye ini. Baadhi yake ni rahisi kuzichanganya na hali nyingine, ndiyo maana ni muhimu kuzifahamu. 🎥 Tazama video hadi mwisho, jifunze kuusikiliza mwili wako, na kama una dalili zinazoendelea, muone mtaalamu wa afya kwa uchunguzi. Mwisho nimeeleza Vitu vya Kufanya Kwa Haraka #Afya #Ini #LiverDisease #DrDaniel #ElimuYaAfya

Doctor Daniel- Hospitali Ndogo
Doctor Daniel- Hospitali Ndogo
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 25 September 2026 18:13:29 GMT
75561
2148
133
279

Music

Download

Comments

mandukatibamahina
Mandu Katiba Mahina :
hizo alama kwenye kucha ninazo tangu nikiwa mtoto
2026-09-25 19:09:47
33
justgiftdanbi
Just🥰danbi :
Ila doctor mmmh 😂😂😂
2026-09-25 19:00:10
0
bfuture_
future_✝️ :
Ongerea tounger maping
2026-09-25 18:28:48
0
sadafundi398
Sada Fundi :
yaan hum mtandaon ukifatilia unawez kujikut unakuf na presha
2026-09-25 19:59:20
17
shugaleah
SHUGALEAH👑🦁🌟🌞💸🧿 :
İzo alama za bahati bana nimeanza kuona tokea nipo la kwanza 🤣🤣🤣🤣miaka 27 nyuma uko ilo ini gani adi leo halijafa tuu
2026-09-26 05:45:56
15
min_newlynn
Min newlynn :
this is a good luck
2026-09-26 00:28:21
0
babrake33
Babrake :
Nikisikilizaga coctent zako najiona kama kila ugonjwa ninao.😌
2026-09-26 05:17:49
2
winnyfabricsstore1
winnyfabricsstore1 :
Basi mi nmekufa mbaka hapo😂🙌
2026-09-26 11:24:07
0
diranyswai
soph d❤️ :
bas mi ile ili litakuwa limeoza .kabisa
2026-09-25 19:51:34
1
dr.elune129
dr.esn⛎ :
Izo alama kwakucha utoton tunaamini ni bahat nzur..
2026-09-26 02:44:06
0
user8073385980322
irene :
je hiyo homa Ya ini wanapimia shingap napia je Kama ukipimwa hepatitis B unajikuta upo salama uwezekano wa kupima hepatitis C napo nilazim kupima Tena au ukishapima hiyo B akuna haja Ya kupima Tena hiyo hepatitis c
2026-09-26 19:03:07
0
user6811610744637
kidoti 47$$ :
ninahi alama kwenye kucha Toka utoton waliniambia ninabahat
2026-09-25 21:53:50
1
kaumbya6
Daughter🇹🇿 :
kuna vitu vingine ukivifukunyua ndo unaumwa mniache bhana😂😂
2026-09-26 05:40:45
1
violettelady.01
VIOLETTE LADY🌸🦋🏵 :
nimeanza kuona nikiwa ninamiaka 6 na tulikua tunaamin ikidondoka unaokota elq
2026-09-26 12:41:51
0
mushqa.fei
mushqa fei :
nahitaji kuja kwenye spitali yko ipo wap
2026-09-25 23:12:44
0
blessingemmmma
Blessing :
jaman mnanichanganya dini inasema na dalili za nyota kali daktar anasema dalili za ugonjwa wa inn
2026-09-25 18:27:02
1
borntowinn10
Finelady😲 :
yaani dalili zote zangu
2026-09-26 03:38:18
1
aminabusi
AMINA BUSI :
hapo umesema kweli dada Kwa nn wasifundishe kwenye vituo vya afya?
2026-09-26 10:22:05
1
kimmy.luxe2
Kimmy :
hizi alama ni za bahati ya ela bn ukiwa mdogo na kinatokea alaf kikidondoka unaokota ela😃
2026-09-26 08:05:09
1
nundujr
Nundu jr Arsenalfan :
Hizi tulikua tunapata sanaa tukiwa watoto kucha kuota hivi vidude vyeupe
2026-09-25 18:48:35
4
user3927513370110
Beatrice Msangi :
haya mafunzo yenu mitandaoni mnaweka watu roho juu juu kwann msifundishie kwenye vituo vya afya,..kila kukicha kila mtu anakuja na mafunzo yake tunashindwa kuwaelewaaa
2026-09-26 01:35:07
1
ustadhrashid
Rashid sengo :
Sisi weusi Rangi ya njano tutaionaje kwenye mwili
2026-09-26 04:31:24
1
sarafinasilvesta
miss boss :
ACHA bas
2026-09-25 20:49:11
1
joycekitundu176
Joyce Kitundu :
naumia sana
2026-09-26 18:55:41
0
emmietz6
Emmy 🛍️ :
Juzi nimepima homa ya ini hepatitis A B, C
2026-09-26 20:02:25
0
To see more videos from user @dr_daniel_md, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About