sio nyimbo ya dini hyo hakuna alipotajwa yesu hata mstari mmoja hapo
2026-09-25 19:47:04
48
Clara john :
mbosso akiwepo ndo tunaabudu kabisaa na kulia
2026-09-25 19:33:47
66
Mindset Motivation :
Unavyosimulia km mtu aliiona movie before, Allah akujalie afya njema na riziki pia ktk upambanaji bro just joke kwa mwanzo
2026-09-25 18:32:42
29
Lucy♥️♥️ :
Diamond analidude lake likubwa 🥂👌
2026-09-25 19:24:45
29
NEYLAH 🦋♥️ :
Bora hata umempongeza ww
2026-09-25 20:45:02
5
Erick msafi :
WAKRISTO WENZANG TUMSIFU YESU KRISTO 🙏🙏🙏🙏
2026-09-25 22:45:14
18
sirbboy :
[Tears of joy][Tears of joy] ngoja muone
2026-09-25 21:14:23
0
Pauline piter clavery @ :
[Heartwarming][Heartwarming]MBN kaimba vzr jmn
2026-09-25 20:47:35
0
Mr KAI💥🇹🇿 :
atake msema kaka mwanya vibaya warah nalala nae
2026-09-25 19:01:58
42
SAMER NASSER7 👑👑 :
Hachekeshi is father
2026-09-25 22:47:14
0
Big p0p@@!! :
huyu mwamba ana jua saana
2026-09-25 18:52:07
13
Shazy kendrick :
gospelbongo flavour [Tears of joy]
2026-09-25 19:51:10
5
Jacobo matandiko :
mbona jux nae aliimba na watel chilambo na hamkusema
2026-09-25 21:04:39
3
21s4nt0sJr🦁⚽ :
Tanzania one diamond platnumz Tanzania one mwanya
2026-09-25 18:48:31
27
Electric life☎️🤙0659892088 :
Anasema
baba mm Kila napolalaa kupata Shiba tu naridhika wapenda gari nipe ndala walau miba kusitirika🔥💥🔥💥Tanzania one
2026-09-25 19:34:49
12
queen of dream :
so emotional
2026-09-25 19:34:44
0
Augustino de James🍻 :
pitdada kujisemea Doto magari.. gonga like apa✍🏿
2026-09-25 18:25:55
10
jonte mjomba :
😂😂😂 diamond platnumz namba Moja Tanzania
2026-09-25 22:44:49
1
prdc costa :
huyo siyo kiboko ni SIMBA
2026-09-25 20:53:31
5
hunter master🐅🐅 :
kweli kashindikana aisee
2026-09-25 18:59:49
5
Dickson kalenga🔥💰🦁🌍 :
Azoelekiiiii kabisaaa🔥🔥🔥🔥🙏🙏
2026-09-25 21:21:20
1
🇰🇪kenyan king👑 :
😂😂😂😂kali kinomaa
2026-09-25 20:55:58
4
Juma mohamed :
𝐢𝐨 𝐧𝐠𝐨𝐦𝐚 𝐤𝐮𝐧𝐚 𝐬𝐞𝐡𝐞𝐦 𝐭𝐮 𝐧𝐝𝐨 𝐤𝐚𝐥𝐢𝐢
2026-09-25 19:55:20
2
Tit4Tat :
Mi kwa mtazamo wangu, na maoni yangu, nadhani inabidi niweke sawa kwamba kwa maneno machache sana niseme mimi kama mm naweza kuwa na mtazamo ambao Nitapenda kusema kuwa kwa maoni yangu naona ni vema kueleza kuwa inabidi sasa niweke sawa maelezo yangu kuwa hili suala ni ambalo kwa maoni yangu naona kuwa maneno ambayo naweza kueleza kwa ufundi sana na kutokana na mawazo yangu. Sasa nimalizie kwa kusema kuwa naona mawazo yangu ambayo yanaeleza kuwa mtazamo ambao mimi binafsi ningetamani kusema kuwa inabidi maelezo haya ambayo nayatoa ni kwamba, kwa maneno machache nieleze kuwa naweka wazi ya kwamba maoni yangu na mawazo yangu naeleza kuwa mtazamo huu ni kueleza kuwa sina la maana ndugu zangu.😁
2026-09-25 20:04:09
2
Senetor :
kashindkana diamond jmn bongo movie mjiandae uko akija mmekwisha yan mond ni born talented
2026-09-25 20:33:12
3
To see more videos from user @____mr_mwanya, please go to the Tikwm
homepage.