rose muhando alikuwa mbele ya muda ndio yanayotokea saiv aisee
2026-09-26 19:26:30
9
juliamwaniki791 :
Huyu mama ametoka mbali sana
2026-09-27 19:34:21
4
delphine :
I was in glass 5 at that time
2026-10-03 05:07:10
1
Tracymosha :
tulikuwa tunasikiliza kama kiburudisho ila ilikuwa ni unabii kuhusu nyakati hizi,Mungu awabariki wakmbaji🥰
2026-10-09 18:28:29
1
@M.diba@ :
du nilikuwa kwetu nasoma sec tunatoroka shule tunapitia kwa mganga wa kienyeji kuangalia ndo alikuwa na video 🤣🤣🤣🫣🫣🫣
2026-10-13 07:49:31
0
MC DotiDoti :
I was in form 4
2026-09-30 17:28:31
1
dianaemmanuel :
mungu wngu kwanz nilikuwa nyumbani katoto
2026-09-30 16:40:10
2
Dennis Mogaka :
class 5
2026-10-03 17:14:46
1
MR PARIS☎️ :
Alikuwa mbele ya muda mnoo
2026-10-03 19:04:48
0
annita :
wimbo wangu sasa from Zambia
2026-10-04 05:23:12
0
Eliya Daudi :
wengine tuko tumboni
2026-09-26 16:24:45
0
NYOTA YA WAREMBO SALON. :
nilkua kwetu tena nikiwa mtoto sana natumwa sehem nikikuta watotowenzangu sirud Leo.hii nyimbo naikumbuka nilienda kutembea ilikua Christmas nikaikuta inapigwa BC nikaikalili.hicho kipind nikitumwa sehem nikikuta watu naogopa narud home nawambia hawapo kumb nmeogopa🤣🤣.au ntajibanza pemben mwisho wanikute ndo niseme nilichotumwa ila utoto😂
2026-10-04 12:51:21
0
Neema Peter :
kwetu nilikuwa bado nasoma
2026-09-27 10:44:42
1
beatricelucius4 :
kwanza icho kinanda sasa ni 🔥
2026-10-02 13:42:11
1
Anna Kuhaha :
hata Mimi nilikua darasa la tano nilicheza shoo kwenye ndoa ya baba angu mdogo,,nakumbuka nilivaa gauni ya mkono Mmoja,,,😂😂😂
2026-09-29 10:23:41
2
Veronica Roberts :
nyumbani urambo
2026-09-30 15:43:06
0
Nuru Eliakimu :
hizo ndo nyimbo sasa kwa sasa mhuuuu
2026-09-26 05:23:40
0
ma magda :
hata shule cjaanza ila sasa Nina watatu ila Bado 💯
2026-10-06 09:07:36
1
Arap Ng'elechei :
I was in High school bybthen, can't stop listening to Muhando's songs, touching and encouraging, live long sister.🔥♥️🔥