@fahad_rawahy: #Pemba #Zanzibar #zanzibartiktok #tanzaniantiktok🇹🇿 #visitpemba

فهد الرواحي
فهد الرواحي
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 25 September 2026 18:35:22 GMT
133967
4991
698
199

Music

Download

Comments

all.bany
all bany :
mama angu kaolewa na mpemba wa mkoani ilikua kila December tunapelekwa pemba so mungu amrehem kanilea tokea nna miaka mitano mpk now nna watoto kanifanyia mengi kama mtoto wake w kuza namuombea kwa mungu awe katika waja wema wa peponi amin
2026-09-27 12:03:49
69
fahad_rawahy
فهد الرواحي :
Waliosema njia ya jaani mtambile wamepatia,,,nilikuwa nawapima tu😂😂👏
2026-09-25 20:08:50
62
user1191094328354
Faiz Aliy Said :
ya mtambwe
2026-11-12 15:00:53
0
najatnajlat
NajatNajlat :
Mm nikikuona kwetu nafarijika sana
2026-09-26 10:12:08
45
087al_shirazy
Al_shirazy :
MTAMBILE IYO ☝️
2026-09-25 20:15:48
6
edyzahran02
edy zahran :
nanguji imepita kidutani jaani mpaka mtambile kwa biti yakuti
2026-09-25 19:24:11
7
......0555
S 055🪬🧿 :
Sjui kwanin Qswida unazozieka zinanikumbusha kam kitu flani sjui cha hudhun au furaha ila najiona nikisikia siko sawa japo sjui maana yake hasa nikiona hizo njia za barabara za PBE....🥹♥️
2026-09-25 21:24:40
12
othuman.ali
Othuman Ali :
M/ Mungu Amfanyie wepesi . Mh.Raisi wetu Husseni Mwinyi .Napia Namuombeya kwa mwenyezi mungu Ampe umri mrefu.
2026-09-26 13:38:48
9
litoboy_1
Lito B :
[Heartwarming][Heartwarming][Heartwarming][Heartwarming][Heartwarming]nimependa san kaka
2026-09-26 16:57:43
1
abdulqadiralbajuun533
Abdu-Qadir Albajuun :
jaani hyo
2026-10-14 19:59:42
1
user780270193987
last born girl 👧 :
njia ya nanguji mtambile
2026-09-25 20:35:00
2
user26053793428623
Ruu Ali :
wote wamekosea itabidi tukupe mji ili utujie njia ya wapi hiooo mi pemba nimeishi lkn pia sjui hii njia ya wapi😁😁😁
2026-09-26 07:06:33
1
maryam.nassir25
Maryam Nassir :
wauwah kaswida inanikumbusha ckukuu asbh 😂
2026-09-26 20:05:13
2
alijumabakar300
Ali juma Bakar :
mikarafuu jamhani mnaiyona
2026-09-27 17:55:46
1
suleimansaidi652
Suleiman Saidi :
hio barabara iendayo Gando Junguni
2026-09-30 04:02:58
1
user861362559666
maisha ni yamungu :
mgelema
2026-09-26 08:36:06
0
boywaokeny
official bocbabuu :
ila pemba kuzuri masha allha🥰
2026-09-25 20:55:04
1
bin_seif_001
@young seven_🇦🇪🇨🇦 :
io lami sasa oya pemba 1 tuuu✊️🥹
2026-09-26 15:20:42
1
dullara5
Dulla2410 :
Bado Gari hazija ruhusiwa kupita mpyaa🔥
2026-10-06 20:27:16
1
salehmbarouk730
Saleh Mbarouk :
hii ni mleteni
2026-10-10 07:28:21
1
user3278179909530
Ummy Fatty :
jaan mtamibil mpk nanguj
2026-09-26 09:12:05
1
aminahamadi863
Amina Hamadi :
Na Kesho naendaa huko huko kutembeaa insha'Allah 😂😂
2026-09-28 10:11:38
1
alimohammedomar75
Ali Mohammed Omar :
Mtambile-Jaani
2026-09-26 09:04:44
1
drivesafe12
ChefLiy. 🧑‍🍳 :
hio njia ya kidutani watokeza nanguji
2026-09-26 09:34:06
1
abdulqadirdiaz
abdulqadirdiaz :
njia ya jaaani
2026-09-25 19:36:26
2
To see more videos from user @fahad_rawahy, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About