mi staki hata kuwaza maana weeee...Mungu tupe
more life🙏
More blessed 🙏
more Favour 🙏
2026-09-26 13:07:39
0
sarah richady :
jmn sijui sijui mungu nisaidie🥺
2026-09-26 10:03:09
0
Sha Shagdyjshjsvywvhksysvzfhsf :
Allah naomba utujalie maisha marefu tulee watoto wetu
2026-09-26 07:53:08
11
preety :
speaking from experience..i miss my Dad.
2026-09-25 22:14:14
0
T :
For me yes…
2026-09-26 13:41:53
0
Suzan Deus :
Fact but me nawaza kila siku
2026-09-25 19:33:24
1
Ashy ayoub🦋 :
aaaaaah wap
2026-09-26 09:06:43
1
❤️ GNS❤️💵 :
Mm nina ndugu wawili ala Najuwa hawata wapa ata maji yakunywa
2026-09-25 21:07:14
16
Babymary163 :
hakuna kwaupande wangu.
2026-09-26 10:05:59
3
Bi aisha🤎 :
me watasaidiwa ila kwa ngumi na kuambiwa kasoro zangu kila siku😭😭
2026-09-25 21:34:18
7
salomedeogratius15 :
yani siku zote mzazi mzazi tu upendo ulio nao kwa mwanao hakuna mwingne anaweza kuwapa yani hiyo ni ukweli
2026-09-25 19:08:48
18
Ibraah Khan :
kwa marafiki sijaona....
2026-09-26 05:54:59
2
Stella mlosi :
dadaangu hakuna kitu kama icho mm mmewangu alifaliki mwezi WA 4mwaka huu ndugu walivyo maliza kuzika wakaondoka jumla mpaka Leo hakuna wakupiga cm wala kuja kuwaona watoto wao .
2026-09-26 07:34:22
4
tnah joseph :
me sina wazazi na naogopa adi kuzaa mana nafkria nkizaa leo nikija jeeh itakuaje kw ao watt
2026-09-25 19:47:17
11
momo :
Namuamini dada Ang na mama Ang wanawezaa na mungu awape uzimama milele
2026-09-25 20:58:54
6
hawa beauty saloon :
mwenyezi mungu anipe umri mrefu kwa ajili ya watoto wangu 🥺
2026-09-26 03:14:36
4
@salma J :
kama we unaangalia wa wenzio na wewe wataangaliwa so kila mtu mbaya kumbuka mkono uoswa na mkono mwenzie
2026-09-26 10:54:31
0
swide❤️ :
Mungu mtunze mama angu sina kimbilio lingine
2026-09-26 01:31:18
1
Samar's mom :
nimehema sana
2026-09-25 20:11:16
1
CHAMlDEKO🤲♥️ :
Allah tujalie mwisho mwema 🥹 🤲 🙏
2026-09-25 22:30:25
1
Golden_Heart 💛💛 :
kweli mwenzio naliya nikikumbuka hilo nahisi wanangu watateseka bila mm 😟 mungu atupe uzima na uhai mpk wakue wajitegemee wenyewe
2026-09-26 05:33:06
1
Mimah Harith :
Mmmmmnh kwa upande wangu hamna, watanyang'anywa kila kitu😭😭😭😭😭😭😭😭😭
2026-09-26 03:42:36
1
ejcute :
Me ndio maana naogopa kuzaa coz najua hakuna atakayewasaidia watoto wangu
2026-09-26 06:17:24
1
user1257973706076 :
hana
2026-09-25 20:00:07
1
To see more videos from user @pilikitimtim, please go to the Tikwm
homepage.