napitia kipind kigum sana asante sana kwa madini yako nimepata utulivu angarau nashukur kunijenga
2026-09-28 05:36:02
4
user65431040966088 :
ahsate
2026-10-23 10:10:17
1
D/Danny boy 56 :
broo unatujenga san
2026-09-27 17:48:51
8
Maua Abdul :
Kweli kbs
2026-10-13 10:15:22
1
santo :
Ni kweli baba
2026-10-15 03:58:27
1
HAWA SAIDI :
Asante kaka umenipa madini baba
2026-09-27 11:38:53
6
💦martha💦 :
ahsante
2026-10-09 13:37:36
1
it's Mariam😘 :
2026-10-27 10:35:10
1
Hafidh Mali :
asante kaka
2026-10-09 04:57:21
1
yamaldin :
yes
2026-10-05 16:37:48
1
Eve cakes :
Asante
2026-09-30 08:06:55
1
Idean :
ameni
2026-09-26 19:29:43
1
ar-ally132 :
🔥🔥🔥🔥🔥✅🙌🙌
2026-09-25 19:11:33
1
mama Amiri :
Ahsante
2026-10-05 03:57:34
1
buda :
Nikwel broo
2026-10-13 06:01:59
1
Yvonne_ Hairland :
nashukuru Mungu maana nilikua namuomba sana anibadilishe kutoka kua mtu mbaya nilikua na hasira sana maumivu kila muda mtu wa kisasi kuthamini vitu vya thaman na pesa ila sahivi nimepona hiki ni kitu pekee tunachotakiwa kufanya tupone tusiwe na hasira chuki wivu visasi na kutaka vitu vya thamani bila kupambana upendo ni dawa na uanze kwako wewe hivo ndio utaweza kumpenda mtu mwingine bila kudai chochote
2026-10-23 14:43:46
3
carren@G84 :
Natamani kama ningekuta na Mungu live maan naomba nais kam anisikii🥺🥺🥺
2026-10-26 04:50:26
1
Coffee en milk☕ :
Haya ni maisha tu na tunapita🙏wala Sina tamaa na chochote kile wa kukaa akae wa kwenda aende
2026-10-12 14:37:33
4
It's Azizah Mzilah 🇹🇿🇹🇿 :
Mungu anitie nguvu
2026-10-10 19:18:54
3
salumfaustine700 :
iko waz bro
2026-09-27 09:11:15
2
Nuru Mkumba :
kwa kwel aman ya moyo ni muhim sana vitu na pesa vinatafutwa
2026-09-28 09:56:07
3
To see more videos from user @momadini_, please go to the Tikwm
homepage.