@matukioonline_tv: PART O1_ Simulizi ya Ndg. Mohamed Khalid Saidi Manusura katia ajali ya MV SPICE hapa anatupitisha katika Safari yake yenye maumivu ,Machozi,Jasho na Damu Ikumbukwe Meli ya MV Spice Islander I ilizama tarehe 10 Septemba 2011 ikielekea kisiwa cha Pemba kutoka Unguja, Zanzibar, na kusababisha vifo vya mamia ya watu. Sababu za Ajali Kujaza abiria kupita kiasi: Meli ilikuwa na uwezo mdogo kuliko idadi kubwa ya watu waliokuwemo ndani. Mizigo mingi: Mizigo haikuwekwa vizuri usawa wa meli. Uzembe: Ripoti ya tume ilionyesha kuwa kulikuwa na uzembe wa kiufundi na nahodha. Idadi ya Waliofariki Takwimu rasmi na za serikali zilionyesha kuwa zaidi ya watu 1,500 walipoteza maisha, huku wengine zaidi ya 600 wakiokolewa Credit/ Chanzo Cha Simulizi hiii ni : @cloudsfmtz @cloudstv Kwa Habari Motomoto follow @matukitv_online

Matukionline Tv
Matukionline Tv
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 25 September 2026 19:02:53 GMT
94335
4073
138
145

Music

Download

Comments

mr.spices09
MR SPICES :
daa! story inasisimua🥺
2026-09-25 19:18:55
27
araphabad
araphabad :
poleni jamani
2026-09-26 12:22:58
0
samora4160
Samora :
SERIKALI ZETU NI BUREE KABISA
2026-09-25 20:20:57
21
swaumu.mashaka
swaumu mashaka :
ndo maana me na maji mwisho wetu bafuni sina urafiki na maji kabisa 🙌🙌🙌🙌🙌
2026-09-26 03:29:56
31
khairat1743
Khairat heena :
Allah awarehemu walofariki na awasamehe makosa yao
2026-09-26 05:49:26
11
user4665473804537
2face surambili :
nchi hii viongozi wetu wana kesi ya kujibu kesho kwa MUNGU
2026-09-25 20:56:34
18
ms_warder
WARDA🌹 :
Leo ndo Nimeskia stor Ila serikal imechangia pakubwa watu mufarik kwasababu ya uzembe
2026-09-25 21:12:00
12
anjelajelemia
Malaika 🥰🥰🥰 :
mungu akupe maisha malefu kaka🙏🙏
2026-09-25 19:52:25
24
chama0142
chama :
na mm njooni mnihoji nilikuwepo ktk hii ajali na mama yangu mzazi alifariki
2026-09-26 05:13:56
8
its_lee_6
. :
Nimechoka kujificha jmn uyo sabra ni mm😭😂😂
2026-09-26 00:22:09
4
shani.omary1
Shanellefido :
ila kikwete alikosea sana kusitisha uokoaji usiku
2026-09-25 19:32:51
12
neema.samwel542
mrs.k.ya :
kwani hii ni yalini jamani mbna ka mnatutisha et
2026-09-25 20:14:59
4
jozeepianist
Jozee Pianist :
serikali ya Tz
2026-09-25 19:25:24
11
rayahabbakar4
Rayah :
Allah a2jaalie mwish mwem
2026-09-25 20:44:40
6
papaa3324
kaka :
inaumiza sana hii
2026-09-25 19:48:28
8
machacharichoo
machacharicho :
hii movie ya kihindi.
2026-09-26 04:45:03
0
abeid.zanzibar
Abeid Zanzibar :
holcoptar ilikuwa ni moja tu ndo ilikuwa inazunguuka pale sio zaidi y moja
2026-09-25 21:08:46
2
shamira9119
mirha :
kumbe wangewahi kuokolewa wasingekufa wengi ila hii ndo tanzania yetu, Mungu awarehemu wote waliopoteza maisha.
2026-09-25 21:42:28
9
kazbusiness
kazbusiness :
Hii story kama movie ila ndo uhalisia
2026-09-26 07:53:12
0
deesglamorousstore
deesglamorousstore :
Watu wanapendana mpaka majin nyieee love is everywea
2026-09-26 07:53:45
1
cyber_warrior254
࿐⫷꧁ℑ𝔸𝕪 ₥𝕦ཞ𝕃𝕚ↁℋ𝔸ཞ꧂⫸⌐╦╦═─࿐ :
kwaiyo dadazake uyo jamaa walikufa
2026-09-25 20:17:51
5
lonesurvivor944
jitu :
Dada anaehoji anaingilia sana mazungumzo
2026-09-26 05:23:54
1
user57794242454511
Mrs @bou :
inasikitisha mno
2026-09-25 21:53:48
3
amir_junior39
amir_junior :
next
2026-09-25 19:39:21
4
babaspiro7
babaspiro7 :
Pole sana kaka
2026-09-25 19:27:12
3
To see more videos from user @matukioonline_tv, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About