@yasr_5116:

אופק הנדסה ופרוייקטים
אופק הנדסה ופרוייקטים
Open In TikTok:
Region: IL
Friday 25 September 2026 19:04:20 GMT
24848
2008
4
88

Music

Download

Comments

useram6x813n3j
חאזם רשק :
بتجنن
2026-09-25 22:29:20
0
zoo212224
Suwit Kaiosanthia :
สวยงานขายไหมนาย
2026-09-26 17:04:48
0
user147695441
Ali Ali :
2026-09-26 04:32:23
0
user5030376377022
user5030376377022 :
2026-09-26 05:15:43
0
To see more videos from user @yasr_5116, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos

*ROZARI TAKATIFU* *_TUSALI KWA IMANI KUU._*  JUMATATU /JUMAMOSI  *MATENDO YA FURAHA* 🍀*(Nia yetu kuu... tunakushukuru  Mama Bikira Maria Mama wa Amani, Mama wa Matumaini & Mama mwenye Upendo, Tunakuomba Utupe nguvu na ujasiri wa kukutangaza na kulisifu Jina lako Takatifu, Tunakuomba Mama kwa mwaka huu 2026 tuweze kuponywa hasa katika ibada ya  Rozari Takatifu ili Maisha yetu yawe na Faraja hasa tunapozama katika bonde la Machozi, Uifanye mioyo Yetu ikawe na furaha kwa mfano wa mafumbo ya Rozari Takatifu na kwa siku ya leo tunapoanza kuisali  sasa....👇)*🍀 1: Kwa jina la Baba, na la Mwana, na la Roho Mtakatifu: Amina.    2: Nasadiki kwa Mungu, Baba Mwenyezi, Muumba wambingu na dunia; na kwa Yesu Kristo Mwanae pekee, Bwana wetu, aliyetungwa kwa uwezo wa Roho Mtakatifu, akazaliwa na Bikira Maria, akateswa kwa mamlaka ya Ponsyo Pilato, akasulubiwa, akafa, akazikwa, akashukia kuzimu; siku ya tatu akafufuka katika wafu, akapaa mbinguni; ameketi kuume kwa Mungu Baba Mwenyezi; kutoka huko atakuja kuwahukumu wazima na wafu. Nasadiki kwa Roho Mtakatifu, Kanisa takatifu Katoliki, ushirika wa Watakatifu, maondoleo ya dhambi, ufufuko wa miili, na uzima wa milele. Amina. 3: Baba yetu uliye mbinguni, jina lako litukuzwe. Ufalme wako ufike. Utakalo lifanyike duniani kama mbinguni. Utupe leo mkate wetu wa kila siku. Utusamehe makosa yetu, kama tunavyowasamehe na sisi waliotukosea. Usitutie katika kishawishi, lakini utuopoe maovuni. Amina. 4.-: Naye atuzidishie imani. Salamu Maria....... -: Naye atuongezee matumaini. Salamu Maria... -: Naye atuwashie moto wa mapendo. Salamu Maria... Atukuzwe Baba, na Mwana, na Roho Mtakatifu, kama mwanzo na sasa na siku zote na milele. Amina 5: Matendo ya Furaha  5.1: Tendo la kwanza: Malaika Gabrieli anampasha habari Maria kuwa atakuwa Mama wa Mungu. Tumwombe Mungu atujalie unyenyekevu. >Baba yetu... >Salamu Maria... (mara kumi) >Atukuzwe Baba... >Tuwasifu milele, Yesu,Maria na Yosefu. >Ee Yesu mwema, utusamehe dhambi zetu, utukinge na moto wa milele, ongoza roho zote mbinguni, hasa za wale wanaohitaji zaidi huruma yako. >Damu ya Kristo iziokoe roho zinazoteseka toharani, izijalie nuru ya uzima wa milele amina.  5.2: Tendo la pili: Maria Mtakatifu anakwenda kumtembelea Elizabeti. Tumwombe Mungu atujalie mapendo ya ujirani. >Baba yetu... >Salamu Maria... (mara kumi) >Atukuzwe Baba... >Tuwasifu milele, Yesu,Maria na Yosefu. >Ee Yesu mwema... >Damu ya Kristo... 5.3: Tendo la tatu: Yesu anazaliwa Bethlehemu. Tumwombe Mungu atujalie moyo wa ufukara. >Baba yetu... >Salamu Maria... (mara kumi) >Atukuzwe Baba... >Tuwasifu milele, Yesu, Maria na Yosefu. >Ee Yesu mwema... >Damu ya Kristo... 5.4: Tendo la nne: Yesu anatolewa hekaluni.  Tumwombe Mungu atujalie usafi wa moyo. >Baba yetu... >Salamu Maria... (mara kumi) >Atukuzwe Baba... >Tuwasifu milele,Yesu, Maria na Yosefu.  >Ee Yesu mwema... >Damu ya Kristo... 5.5: Tendo la tano: Maria anamkuta Yesu hekaluni. Tumwombe Mungu atujalie kuwatii wakubwa wetu. >Baba yetu... >Salamu Maria... (mara kumi) >Atukuzwe Baba... >Tuwasifu milele, Yesu, Maria na Yosefu.  >Ee Yesu mwema... >Damu ya Kristo... SALAMU MALKIA: Salamu, Malkia, Mama mwenye huruma; uzima, tulizo na matumaini yetu, salamu. Tunakusihi ugenini hapa sisi wana wa Eva. Tunakulilia tukilalamika na kuhuzunika bondeni huku kwenye machozi. Haya basi, mwombezi wetu, utuangalie kwa macho yako yenye huruma. Na mwisho wa ugeni huu, utuoneshe Yesu, mzao mbarikiwa wa tumbo lako. Ee mpole, ee mwema, ee mpendelevu, Bikira Maria. K. Utuombee, Mzazi mtakatifu wa Mungu. W. Tujaliwe ahadi za Kristo. Tuombe: Ee Mungu, makimbilio na nguvu yetu, uwaangalie kwa wema watu wanaokulilia; na kwa maombezi ya Bikira Maria mtukufu asiye na kosa, Mzazi wa Mungu, na ya Mtakatifu Yosefu, mume wake, na ya watakatifu Petro na Paulo mitume wako, na ya watakatifu wote: usikilize kwa huruma na wema sala tunazokutolea kwa wongofu wa wakosefu na kwa uhuru na utukufu wa Kanisa, Mama mtakatifu. Tunaomba hayo kwa njia ya Kristo Bwana wetu. Amina. #SalaNiSilaha #The3AmAlter #WauminiWaKanisaKatolikiTanzania

About