@tee_sweetcakes: Dukuduku langu liwaende #satosangararestaurant @SATO & SANGARA 😫😫#

Tee_sweetcake’s🍓🇹🇿
Tee_sweetcake’s🍓🇹🇿
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 25 September 2026 19:20:41 GMT
24431
631
149
170

Music

Download

Comments

ennah340
Ennah 🦋 :
Tilapia capripoint the food is 🔥🔥🔥yaan nikijisikia hamu tu ya kula naenda their food is very yummy 😋
2026-09-27 18:32:54
0
miss..barbie29
Miss..Barbie🌸🤍 :
Mmmh uo ni uongo sato sangara wako vizur na wanahuduma nzuri
2026-09-26 18:15:59
19
asmaaabdul
Asmaa Abdul :
ukua na ipad
2026-09-26 11:42:15
8
precykidzvilla
precy kidz villa :
Wahudumu wa sato sangara ndo walivyo hawatoagi menu specifically wadada and it’s because wanakupa bei zao binafsi sio za ofisi!
2026-09-26 13:28:37
24
neemakessy245
Neema Kessy🇹🇿 :
😂😂😂😂😂Pole tabu ulvoenda na shem hawatakagi
2026-09-25 20:30:21
8
kareena.ramesh
user940316287103565791 :
in short mwanza nzima hakuna sehem nzuri ya kula kama ambavo ingetakiwa kuwa hili ni jiji la pili tz ila ni hovyoooo kwa wanaojua misos mizuri ila kama hujui utajionea sawa
2026-09-26 16:12:23
9
shamaelah
SHAMAELAH :
hakuna sehem ya kula hata kfc hakuna huku
2026-09-26 19:19:58
1
laylah_waakuwa
Rima😍🔊 :
samaki gan uyo mmmm kaoza sjui
2026-09-26 10:35:22
3
avy_128
Gifted Lady :
siku hiz satosangara wanazingua mnoo
2026-09-26 15:25:13
2
i_am_cecie
Cecie ❣️ :
Kiukweli wahudumu wa sikuhz sio wanyonge ukienda na dharau wanakupokea na dharau jee ww uliwapokeaje wahudumu!? By the way sato sangara mimi naenda sana kupata chakula pale na wapo vizuri sana sijajua uliendaje 😂😂
2026-09-26 20:30:40
4
dylan31608
dylan :
sure shida ya pale ndo hyoo wanataja bei ya chakula ujui kama ndo kweli au nimepigwaaa
2026-09-27 09:44:50
2
feyhudda
Fey🦋 :
Pale kwny account yao ya instagram kuna namba ya boss wao ungeipiga angekuja chap kukusikiliza wana huduma nzr pole hujakutana na muhudumu sahihi
2026-09-26 14:30:03
6
suu.jayden
💋....🍓🍓🍓 :
mimi mwenyewe najuta wapo na madharau sanaa
2026-09-26 19:21:54
0
zulpher59
its_me17 :
Yan navyokuona na kisirani cha kidiko 😆😆😆 polee ungemnasa vibao
2026-09-25 20:36:04
5
naah759
@naah💙 :
@satosangara_restaurant mbn me nimewah kwenda wako vzr sanaa jaman mmmh
2026-09-26 13:39:13
5
user3466344497556
love :
Ni kweli mimi naishi mwanza kikwel hakuna sehem ya kwenda kula kitu mpaka ukawa ukikaa unakumbuka shishi food. Njooo mwanza mama utuokoe kuna muda mtu anaitaj kula kula tu
2026-09-26 18:32:21
1
tunda.cakes
tunda cakes :
hawakujui kama wewe msema kweli meas good customer care ilifanya uwasifie bt wamekosa sifa zako mm hata nikipata ela siendi huko😅
2026-09-26 05:22:16
6
shamaelah
SHAMAELAH :
mwanza hawajui kuhudumia wateja,na hawajui kupika kbs
2026-09-26 19:18:57
0
lizz.lanly
Lyser🌹 lanly 💋 :
mdada please ukiwa tunaongelea sato sangara angalia brand za watu usiaribie watu biashara please 🥺
2026-09-26 21:47:48
0
sihan8918
sihan :
samaki ukwaju sio ukwaju ndimu sio ndimu yaaaan 😂😂😂😂
2026-09-26 13:05:45
2
user19298774727720
m@mu girl :
[Laugh approved][Laugh approved] da tee ww na wewe unadukuduku
2026-09-25 19:46:11
4
jessaelegance
jessa_elegance :
@sato sangara restaurant in mwanza nlikuja hapo kula Mzuzu na Poshen ya Mbuzi na Juice fresh nikaambia zimeisha nikaagiza wali nyama nikaletewa wali ulikua wamwishoni yani ukoko ingawa nyama zilikua nyingi ila bill ileletwa kwa mdomo na nikaambiwa ni elfu 40 nikamuuliza bint akanambia mashine imeharibika na lipa m-pesa haifanyi kazi..niliapa sirudi maana niupuuzi
2026-09-26 18:30:12
3
jessaelegance
jessa_elegance :
yani Sato sangara na Bonasera si sehemu zakula
2026-09-26 18:31:59
1
anibeauty70
💕 beau :
2026-09-25 19:55:03
3
vinavee16
vinavee16 :
Nilipanga niende kesho ila nimegaili
2026-09-26 17:19:18
1
To see more videos from user @tee_sweetcakes, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About