jmn sa mbn unansema mm[Tears of joy][Tears of joy]
2026-09-26 09:17:21
0
Mellah :
I can't handle this type of relationship 😂
2026-09-26 07:22:24
3
Fine girl 🍂🥰🤟🏻 :
kwahy nisingezaliwaa me ungekuwa na mwanamke mwingine 😩😅🙌🏻🙌🏻😅
2026-09-26 05:07:04
28
Luxydaor :
I can’t handle this kind of relation ship😂😂ungeniua mm mende ww hunipendi😂😂
2026-09-25 22:37:08
3
Lee :
unfortunately haiweziii 💔😂😂
2026-09-25 23:33:30
0
jojolitto58 :
😂😂Ila wanawake tuna tafuta sana sababu 😂😂😂 🥺
2026-09-26 06:34:26
12
Diana🦋 :
Sijawai ku comment kwenye post zako ila hii nimeshindwa kuvumilia 😂😂🙌
2026-09-26 07:04:42
21
Barshidabrown :
Unfortunately 😅😅😅
2026-09-26 08:19:11
0
evbeth mdgl😘 :
apa umetuonea jamon😁😁😁😁😅
2026-09-26 06:18:59
5
agnesskamande :
ila kutafuta sababu 😂😂🙌
2026-09-26 12:11:28
2
king :
mke wangu huyo
2026-09-26 08:37:06
3
VEE MITUMBA👗 :
mi ntajuaje kama wewe ndo huyo,mbu😂😂😂
2026-09-26 11:29:08
2
tina 💕 :
sie wanawake tunatafta sana sababu haswa kwa mwanaume anaekupenda
2026-09-26 11:55:53
2
karricha :
Sema jmaa jau hili😂
2026-09-26 02:50:49
2
datgalvee🦋 :
😂😂😂😂😂ngj nikamuulz mtu wang
2026-09-26 03:46:40
2
Queen~B~point 🦋🦋 :
huyu ni Mimi kabisa🤣🤣🤣
2026-09-25 21:14:15
5
jojolitto58 :
😂Hata mm niliuliza nikifa si utatafuta mwingine akajbu ndio ila stakusahau mamaa😂😅😅hyo kesi yake niliyoianzsha nikamwambia ww ukifa mm sidate tn 😂😂Yaan kesi haikuisha bdaae nikajifikiria nilileta ugomv wa nn 😂😅wkt kiuhalisia lzm adate tu na mm hvhv coz sio wazee bdo vijana wazee wnyw wanaolewa wakifiwa na kuoa 😂😂😂
2026-09-26 06:37:53
3
it's me 🤩 :
jmn
2026-09-26 06:08:47
1
Shabanmikambo :
😂😂😂😂😂😂😂
2026-09-26 06:19:56
1
A GIRL FROM MBUGANI🌸🤍 :
hiiiii kwann mende single ndan kwang😂
2026-09-25 22:33:12
1
Fareed Bogwa :
dah mwanang we noma
2026-09-26 16:55:36
0
Didi💞 :
2026-09-26 17:16:29
0
bowserfalco :
mpk nimekutaman we jamaa
2026-09-26 19:21:21
0
It's me Adhida🤎🍫💦 :
😂😂😂 Jamaa unaakili sanaaa😂😂😂
2026-09-26 16:04:36
0
To see more videos from user @sammgobo, please go to the Tikwm
homepage.