@kenyonyo01: NIUWE nasema NIUWE 😂😂wanandoa bhn poleni@Rummy@hot-gal💥💥😘😘 @Missblack pearly💋❤️🎀 @bella og @F𝔞𝔱𝔲𝔪𝔞🥰🇹🇿🍎 @🦋Mom Kendrick🦋

💵husna cute🎀
💵husna cute🎀
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 25 September 2026 20:11:39 GMT
110208
5226
1284
1895

Music

Download

Comments

ishimwelisette
lisette omega :
niuwe niuwe a few moments later ananiuwaaaaaaaa😂😂😂😂😂😂🤣🤣
2026-09-26 08:05:53
1
little.dodo8
little dodoh🌸🫧🍭 :
ila wanawake et niuweeeeeeeee😂😂😂😂😂 mtanisamehe me nimecheka bhn
2026-09-26 05:40:19
2
bahatihassn
Mrs mudie🦋🥀 :
kutoka niue mpka ananiuwa [Tears of joy][Snicker]💔
2026-09-26 06:23:02
0
evelinafrugence
Queen bee :
haya ndo aliyokuwa anapitia Mama angu kipindi tupo wadogo,😭😭😭😭😭😭,,hii Hali iliniathir kisaikilojia sintokaa nikaolewa 🙌🙌🙌
2026-09-26 02:09:12
348
zahra.jooh4
zahra jooh :
tuko kwa ndoa na hatujawahi guswa hata kibao yote kwa yote ❤️my mume
2026-09-26 03:44:01
156
winnie4207
Marywiner :
niuweeeee niuweeeeeeee!!!!!!!! ananiuwaaaaa
2026-09-26 01:34:59
104
reconditeupendo0
Ukbenard🥰🥰 :
The man is like okay ngj nikuuwe😂😂
2026-09-26 10:12:35
0
last_king_j
last_king_J :
Sasa niuwe alafu ananiuwa tena😂😂
2026-09-25 21:45:32
264
vancyuche_02
Vancy uche❤️‍🔥 :
[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]Anakuuaje tena wakati umesema akuue
2026-09-26 05:57:31
0
yalidy52
Momy Abby♥️🥰 :
shida wanawake tuna midomoo ukimwambia mwanaume ivo yey ndo anapat hasira anakupiga kwel wakat ni kitendo cha kujishusha tu na kuomba msamaha kam umekosea😳😳
2026-09-26 04:50:17
44
derickdenice
@de nice :
hii ni mojawapo ya stage ambayo ndoa ya kweli lazima ipitie✋️😂🤚
2026-09-26 05:09:29
31
princesswarda96
Princess Warda :
toxic marriage,what i went in it
2026-09-26 04:56:23
1
sashamoney4
Sasha Money🌺 :
nikiseka ndoa mnasema power ndoa??[Tears of joy][Tears of joy]
2026-09-26 03:09:41
27
fitz_95jr
fitz_95jr :
mkiambiwa oeni mwanamke aliesoma ukiwa nahasira anakwambia calm down my sweetheart sio niue
2026-09-26 06:39:21
17
deemomki07_urembopoint
𝔻𝕖𝕓𝕣𝕚𝕤𝕤🍒 :
wenyew mko kwa ndoa ....naombeni ushaur
2026-09-26 04:04:03
11
ms_ayraah
Ayraah😇 :
Mimi na huu mdomo niuacheee mme wangu ananitamaniiiiiii😂😂😂😂
2026-09-26 05:45:48
9
edina.alphons
Edina Alphons :
lakin kasema mwenyew amuuwe gafla kabadilika ananiuwaaaaa 😁😁😁
2026-09-26 06:45:09
6
priscamongela
Prisca the expert🪡💞 :
akomeeeee ety niue unashindwa kuomba msamaha unaanza kusema niue😂😂😂😂😂😂
2026-09-26 06:40:44
5
nyobic.family.name
nyobic family name :
akii mungu anipe mume mwema na mwenye huruma na anifundishe kunyamaza
2026-09-26 06:06:05
5
jollyzki
jollyzki :
hapana kwa kwel miaka 28 ila ngoja nisubir sina haraka
2026-09-26 05:59:42
6
mrsmuddy6
MRS MUDDY :
Daaaah 😭😭😭mtoto analia
2026-09-26 03:53:05
45
lastkingel
last king🦅🇹🇿🇺🇸🇺🇸 :
Pigia police mkiona vitu kama ivo
2026-09-26 05:14:25
9
aishakalungi875
@Abitwah🔥🔥 :
Daaahh ya Rabbi nipe nguvu ya kujipambania hakika daah aya maisha yanauma mwanamke unafanyiwa ivo na mme anajua fika kuwa pa kwenda hauna na yeye ndo tegemeo lako aseee tujipambanie kina dada
2026-09-26 07:31:44
5
nanah_store16
nanah_store16 :
Jmn c anasema niiuwe akipigwa anasema ananiuwaa😂😂😂😂
2026-09-26 03:59:33
9
saraalex051
wahala :
mmmh nlikuaaa napigwa kama ngomaaa ilaaaa kelele sipigiii mimi..nashukuru tushauwana[Laugh approved]
2026-09-26 05:37:48
8
To see more videos from user @kenyonyo01, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About