@mozannah: Assalam alaykum guyyyss... Haya leo tupike chicken pockets Nzuri sana . Mahitaji yetu ni -Unga 1kg -Hamira 1 1/2 tbspn -Maziwa ya unga 3 tbspn -Baking powder 1 teaspn -chumvi 1 teaspn -Sukari 1 tbspn -Mafuta 4 tbspn , Utaweka 3 tbspn mwanzo na mwisho utaweka 1 tbspn -Maji 3 cups (angalia unga wako uwe kama wa chapati usiwe mlaini sana wala mgumu) kama wangu hapo🤪 Utakanda unga na uache uumuke. Utaanza kuandaa nyama yako -Vidali 4 , utachemsha na garlic, chumvi, limao, chicken masala. -Vitunguu maji 4 -Karot 1 kubwa -Hoho 2 Ukishaipika nyama yako utaacha ipoe na uandae sauce. Mayonnise 1 cup, ketchup na pilipili yoyote unayopenda utaweka na vinegar kidogo. Unga wako ukishaumuka utaskuma kama mandazi na ukate round kama hapo. Kisha utapika mikate yako kwenye grill.. Mi nimetumia hii sandwich maker set kutoka kwa sherry_homeware unapata hii grill , waffles, na sandwich maker. 😍 Na hatua zote fanya kama hapo katika video utapata matokeo mazuri🩷Bye guyyyss

The homemade cook🧑🏼‍🍳
The homemade cook🧑🏼‍🍳
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 25 September 2026 20:12:18 GMT
65252
3187
41
519

Music

Download

Comments

judy_hopps33
Its_Judyyyyy :
those veggies ulivochop unaeka jikoni kdg pia kuvipika? (carrots, onions na hoho) nice video tho thanks for sharing tips❤️
2026-09-26 02:20:40
1
miss.zaina6
miss zaina :
Alternative ya kupika mikate
2026-09-26 17:29:54
0
ruwayda.soud8
Ruwayda soud :
Mashaallah ni tamm saana wallah 😋😋😋🥰🥰🥰👌
2026-09-25 20:27:18
2
just__muna
Just muna :
Hii material nonstick is not healthy. It emits plastics into your food and it’s a leading cause of cancer
2026-09-26 07:04:21
1
sahsal_9220
Sahsal :
Chakula kinaitwaje
2026-09-26 15:03:32
0
rayyanamour98
Rayyan Amour 💞 :
Mashaallah [Red heart]
2026-09-26 13:44:05
0
ukhtyliciouz1
Halima Nyange :
MaashaaAllah 👌
2026-09-26 12:43:32
0
naifa_0111
naifa_0111 :
kila siku kututamanisha tuu
2026-09-26 04:54:15
0
pretty.nashrah.16
Pretty Nashrah 16 :
utakapo tiya kuku n mayonais haurejesh kwny jik inakuw or
2026-09-25 23:47:05
0
adorable_803
arafa🥀 :
Machine ya kupikia umenunua wapi?
2026-09-25 20:21:16
0
bichwa11
baby afsy :
niulize tu unasaga bones pia or?
2026-09-26 12:58:24
0
iluu.cute.cake.an
Iluu cute Cake and baits :
asant kipenzi 🥰 nakupenda sana ❤️
2026-09-26 05:40:40
0
sharmina.abdulrazak
Ummu.Nihal :
Aa dia. Machine ya kukanda unga umenunua wapi
2026-09-26 07:33:51
0
xx.furah
xx.furah :
MashaAllah barakaAllah fik MashaAllah yako ya grill ni gani plz na umenunua wapi
2026-09-26 05:10:23
0
user2795622953936
Binttyally💙 :
hio mikate umepika kwenye hio machine moja kwa moj au ulipika kwanza
2026-09-26 11:19:42
0
azharito30
Azharito :
W,salaam Mashaallah 😋 [Heartwarming]Shukran kipnz kwa recipe Allah akulip kheir 💕
2026-09-26 13:07:16
0
barbie80543
Barbie :
🥰🥰
2026-09-26 10:54:44
0
To see more videos from user @mozannah, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About