@sulesh_2025: ASSALAMU ALAYKUM WARAHMATULLAH WABATAKATUH. Ndugu yangu Muislamu na ata wewe mpenda kher ambaye si muislam. usiache kuwa sehemu ya ujenzi huu. Toa kwa kadiri Mwenyezi Mungu alivyokujalia. Hata elfu moja, elfu mbili, elfu tano au zaidi, kila mchango una thamani mbele ya Allah. 🤲 Kama una uwezo wa kutoa vifaa badala ya pesa, pia vinapokelewa. Unaweza kuchangia cement, Nondo, bati au vifaa vingine vya ujenzi. ❤️ Usiache kuweka akiba yako katika nyumba hii ya Allah kwa ajili ya siku utakayokutana na Mola wako. Huenda kile utakachokitoa leo kikawa sehemu ya kheri itakayokunufaisha huko mbele, kwa idhini ya Allah. 📞 KWA KUCHANGIA AU KUPATA MAELEZO ZAIDI: 0660 340484 JINA: SELEMAN YUSUF MOHAMED 📍 MGAO — MTWARA VIJIJINI 🕌 TUSHIRIKIANE KUJENGA NYUMBA YA ALLAH. Usiache nafasi yako katika ujenzi huu. Jenga kwa ajili ya Allah, na weka akiba yako kwa Akhera. 🤲❤️ 📲 SAMBAZA UJUMBE HUU KWA KUSHERE, huenda kupitia wewe, mtu mwingine akapata nafasi ya kushiriki katika kheri hii. JazakAllahu Khairan kwa kila atakayeshiriki. 🤲🕌❤️ wabillah Tawfiq🤝 #tanzaniantiktok🇹🇿 #islamicreminder #zanzibartiktok #foryourpage #creatorsearchinsight

SULESH
SULESH
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 25 September 2026 20:13:50 GMT
1205
109
2
2

Music

Download

Comments

mariam.shafim
mariam shafim :
❤️❤️❤️
2026-09-26 13:19:16
1
To see more videos from user @sulesh_2025, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About