@atuganilemwakosya: 🔥 MCHUNGAJI AMANI MWASOTE AONYA WAIMBAJI WA NYIMBO ZA INJILI KUHUSU COLLABO NA WAIMBAJI WA BONGO FLAVA Mchungaji Amani Mwasote aliwahi kutoa onyo kwa waimbaji wa nyimbo za Injili Tanzania kuhusu kushirikiana kimuziki na waimbaji wa muziki wa kidunia. Katika ujumbe alioutoa mwaka 2025, Mchungaji Mwasote alisema: «“Ni makosa makubwa muimbaji wa nyimbo za Injili aliyeokoka kufanya collabo na waimbaji wa kidunia ambao hawajaokoka. Hapana ushirika kati ya giza na nuru.”» Kauli hiyo imeendelea kuibua mjadala kuhusu ushirikiano kati ya muziki wa Injili na Bongo Fleva, hasa wakati wasanii wa Injili wanapokuja na miradi ya pamoja na wasanii wa muziki wa kidunia. #AmaniMwasote #GospelTanzania #BongoFleva #GospelMusic #Atumedia

ATUMEDIA GOSPEL TV
ATUMEDIA GOSPEL TV
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 25 September 2026 20:14:45 GMT
126307
4307
1466
57

Music

Download

Comments

african_bruder_adventure
african_bruder_adventure :
Na mtu ambae ajaokoka akitoa sadaka vp ?
2026-09-27 04:48:27
121
emma_paul
EMMA PAUL :
Samahani Baba imeandikwa kitabu gani hiyoo?
2026-09-26 05:21:52
176
globeventure25
Chacharitho :
vipi kuhusu watu ambao hawajaokoka kuchangia mikutano ya injili au ujenzi wa makanisa???🤔
2026-09-26 08:42:43
87
user9685009711811
user9685009711811 :
mbna yesu alikuwa anaketi na wenye zambi ko alikuwa anakosea
2026-09-26 08:07:13
64
houseofvalerian
G🌹🌹🌹 :
Kila mwenye pumzi naamsifu bwana
2026-09-26 05:40:28
29
queenkole3
Paveen 💞 :
Mchungaji Una uhakika mondi angekuomba collabo ungekataa
2026-09-28 05:39:47
7
alhaj.ram
haj :
giza na Nuru ni vitu viwil tofaut🌓🙏🙏
2026-09-26 12:51:39
24
eyeleen240
Min_leaf :
Sisi kama Genz tumeruhusu 🤍
2026-09-27 07:37:42
23
mwenge833
mwenge :
mbona kwenye michango hamchagui wakutoa mchango kuweni sirias as
2026-09-26 14:50:54
14
reux47
Bersam🧲Thrs🇹🇿 :
halafu mbona mnabagua hamna mchungaji apo
2026-09-25 23:23:34
28
user4579540208316
rea :
ni kweli kabisa hatupaswi kuchangamana na hao
2026-09-26 08:06:00
8
suzy.mom8
mlim :
ipo kwenye kitabu na mstar wa ngp hio
2026-09-26 06:30:31
10
user7591421230021
chuga spare :
tanzania tunakalili sana kwahiyo ni makosa kuchangamana nawasiookoka? si kweli kolabo zifanywe ili hata wao waokoke
2026-09-26 06:59:27
11
michaeljr824
michael jr🇨🇦🔞 :
nashindwa kualewa mbona mr lwaga alivyoimba na barnaba classic hawakuongea kama hivi lakini leo kaimba na diamond maneno kibao
2026-09-26 13:12:29
9
josephshallah
Joseph Shallah :
Hapana injili Ni uweza uletao wokovu Acha tushirikiane nao Ndivyo watakavyookoka Ili na wao wavutiwe na nyimbo za injili
2026-09-25 20:58:40
9
user52585532657856
jack p :
samahan yawezekana kwer kabisa sasa mnafikir hao watu wa nje watamjuaje yesu wetu aliye hai kama tunawatenga
2026-09-27 04:26:08
6
felistasungi323
It's fey 🌹🌹 :
usihukumu usije ukahukumiwa kwa maana hukumu ile ile mtumiayo kuwahukumu wengine ndiyo itakayotumika kuwahukumu, sisi wote ni watoto wa baba mmoja, uzuri ni kwamba hakuna muimba gospel hata mmoja alishawai kushirikiana na muimba bongo fleva kuimba mziki ila waimba bongo fleva wanashirikiana na waimba gospel kuimba nyimbo za gospel hii ndo maana sisi ni watoto wa baba mmoja,na wanamkumbuka Mungu, kwenda kanisani,msikitini na kuimba nyimbo za injili siyo kua mtakatifu
2026-09-25 22:29:12
8
kingmarley377
kingmarley377 :
Nyimbo zote ni za duniani
2026-09-26 09:34:32
6
violetha.prosper
Violetha Prosper Mshubi :
biblia imeweka wazi tusichangamane nawasio amini kweli kabsa
2026-09-25 21:33:11
5
kimbungaog
B"I"G"D"A"D"Y"✅ :
Nanyinyi ntuambie hizo sadaka zetu mnapeleka wapi
2026-09-26 07:40:16
13
father.patson
father patson :
😂😂😂 mbona studio mtumia moja producer mmoja tofauti maneno
2026-09-26 05:36:20
5
japhethjoseph8
Japheth Joseph :
mboma kaimba diamond maneno yamekuw meng mbona rayvany aliimba nmwampos hawkusema chochote
2026-09-26 07:45:26
5
nduletz
Lameck Pagala :
mbona kipindi cha kifo Cha magufuri wasanii wa injili na WA bongofleva waliimba pamoja
2026-09-26 07:37:51
5
eliaseshahu
NABII SESHAHU :
imeandikwa kwenye kitabu kipi sura gani na mstari wa ngapi, kuna wakristo mnadhan MUNGU ni wa kwenu pekee enu kwamba ikitokea mtu kamwimbia Mungu ambae hatokei makanisan kwenu mnaanza kulalamika kana kwamba yesu mnammiliki pekee enu. MUNGU NI WA WOTE JAMANI
2026-09-26 07:17:28
9
user139805798176
asn :
ila kumbuka neno la mung linasema mungu kaja kuwatafuta walopotea
2026-09-26 05:45:47
5
To see more videos from user @atuganilemwakosya, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About