@itssevenkona: MWAKA 2008 mwanamuziki D KNOB aliachia huu wimbo wake safi sana akimshirikisha mkali wa RnB enzi hizo wa kuitwa Q JAY wimbo unaitwa KITU GANI ulitayarishwa na producer MIKA MWAMBA 🔥. kwa sasa hawa jamaa wawili wameokoa na kumrudia Mungu na wameachana kabisa na muziki wa bongoflava.

SEVENKONA
SEVENKONA
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 25 September 2026 20:22:37 GMT
38693
1698
44
89

Music

Download

Comments

blackhebrew97
LBR :
God's really good. [Pray]
2026-09-27 10:06:21
1
orezi.wizzy
Orezi Wizzy :
nipe D knob ft cannibal..badman
2026-09-26 04:32:48
6
uncekiga1
uncekiga :
kitaaan most WANTED.......☺️
2026-09-26 18:59:45
2
henrymwakio7
henrymwakio :
legend no doubt
2026-09-27 14:43:23
0
2tru45
2tru :
i might not understand swahili but ive loved dnkobs flow since mitani.com.i remember bk in highschool in ug everyone shouting ru arghhh
2026-09-26 05:06:22
1
danieljames24505
danieljohn24505 :
D knob alikua mbele ya muda bonge la song
2026-09-26 05:19:24
12
user2025484690914
Humbuda Humbuda :
Mika mwamba🥶
2026-09-27 05:44:15
1
bibianayona
Bugatti 369 :
Oyaaaa Zamar Rahaaa...😢🔥
2026-09-26 19:08:08
2
acfary.mushi
Truck Driver King👑🇮🇪.🇿🇦 :
DKNOB ni nomaa
2026-09-27 07:35:12
0
djgunz_tz
DJGUNZ_TZ :
Hili goma ni la mbele ya muda sana🙌
2026-09-26 04:19:24
2
djthug025
DjThug025 :
Kwenye miaka 30 huwez Waon hawa
2026-09-26 23:16:25
0
kimzbusiness
kim :
hawa jaMaa walikuwa vizuri Sana kupitiliza
2026-09-27 17:55:40
0
trident.lady
Trident lady 😍 :
jmn nilikuwa nampenda anavyoimba huyu kaka uwiii 🥰😅
2026-09-27 18:55:38
1
official.chronixx_007
🍁🇯🇲CHADULY_4️⃣5️⃣🍁🤡 :
MUHESHIMIWA NIPIGIE VIDEO YA ELIMU MITAANI YA DKNOB
2026-09-26 08:28:30
1
emgobukoba
Emgo Bukoba :
uuu aaahhh
2026-09-27 12:07:01
0
qn27m
micharazo :
sawa wao koke tu hili goma tuta injoi nalo vi zazi navi zazi 🙏💪
2026-09-26 08:54:05
0
isebanks
isebanks :
🔥ni mbaya
2026-09-26 20:09:02
0
khamisibinamu
Binamu dread locks :
Huyu ndio rais wa Kiwalani wengine wote wagawane vyeo vingine sio Urais,Kama wanahitaji ila sio uraisi
2026-09-27 11:42:33
0
amrysagamiko
Amiry Chegamila :
D knob namkubali hadi kesho 💯💯💪💪
2026-09-28 02:54:19
0
bibianayona
Bugatti 369 :
huhaaaaaaaa....🔥🔥
2026-09-26 19:07:42
0
johneliasi2
Majuto Rajabu :
aisee bado tupo nanyi kitambo nipo form too.nipo na denti getho aisee
2026-09-26 18:58:16
0
mwadiniamei0
usero777592113 :
Ngoma Kali
2026-09-26 18:19:14
0
barry1459
barry :
kitambo sana
2026-09-26 17:36:27
0
znasser258
Nasser Rostom :
D
2026-09-26 17:12:50
0
dgt4524
gtz :
Elimu Mtaan jaman hilo goma hakuna???
2026-09-26 10:22:17
0
To see more videos from user @itssevenkona, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About