mwanadam akishafariki kinachofata ni hukumu..hayo mengine ni mambo ya kibinadam tu
2026-09-26 07:59:46
0
mayrat67🌹🌹🩷 :
Watu kupewa pumzi n kibali cha kuish dunian bila kulipia pumzi basi wanajibu jeuliiiiiii nakupingana na maandiko ayaaa tutakutana xk ya mwishooo
2026-09-26 07:22:56
0
user29228139100 :
2026-09-26 07:06:34
0
NGOSHA ZE DONE :
Aliemuiga mwenzake nani
2026-09-26 05:16:59
0
NGOSHA ZE DONE :
Toa andiko kwenye Quruan
2026-09-26 05:18:39
0
Edson Katoto🇹🇿🇰🇪🇺🇬🇨🇩 :
sasa yote ya nini Mtu hata mkimuombea Bado kama hakutenda wema Jehanamu inamhusu kwamaana ibada zinazo fanywa Mtu akifa si ajili yake ni ajili ya walio hai kuangalia mienendo ya Matendo yake kabra hajafa pia alafu sio wote suti mbona sanda wanavika wengi tu hiyo inafanywa na walio na pesa zao na wasio jua
Mhubiri 9:5
kwa sababu walio hai wanajua ya kwamba watakufa; lakini wafu hawajui neno lo lote, wala hawana ijara tena; maana kumbukumbu lao limesahauliwa.
Ayubu 18:17-21
17 Kumbukumbu lake litakoma katika nchi, Wala hatakuwa na jina mashambani.
18 Atakimbizwa kutoka mwangani hata gizani, Na kufukuzwa atoke duniani.
19 Hatakuwa na mwana wala mjukuu kati ya watu wake, Wala hatasalia mtu hapo alipokaa.
20 Hao wanaokaa magharibi watastaajabia siku yake, Kama vile wanaokaa mashariki walivyotiwa hofu.
21 Hakika ndivyo yalivyo makazi ya wapotovu, Na hapa ni mahali pake asiyemjua Mungu.
2026-09-26 08:17:45
0
@oismanirashidisaleh :
swadaktah
2026-09-26 08:48:58
0
Abawa :
Hao wanafuata wazungu
2026-09-26 10:22:09
0
To see more videos from user @1maulidimanzi, please go to the Tikwm
homepage.