MUNGU naomba nami nione mahafal ya mwanangu kuanzia elimu ya shule ya msingi mpaka chuo kikuuuu
2026-09-26 09:44:47
82
Gasto Proches :
good blees all people who graduate
2026-09-26 14:40:23
0
Sada 🦋🦋 :
Me ndoo makeup artist who 😂😂
2026-09-26 14:51:30
0
@Queen ney :
mm nimependa tent zenu
2026-09-26 12:31:09
16
flower :
waoooooo
2026-09-26 13:13:03
0
Irene ngailo :
hongera sana
2026-09-26 09:58:57
1
girsmsyan :
nimempenda mwimbishaji wa kiume
2026-09-26 13:08:02
10
Queen F.B.B👑♥️ :
congratulations
2026-09-26 08:55:39
0
really"e" :
kukodisha tent bei gan
2026-09-26 13:43:54
0
Stella bby ❤️ :
mungu nipe afya njemaaa namm nije shuudie maafali ya mwanangu
2026-09-26 12:34:29
6
Revistar 2000 :
kalibuni mtaan kumenoga 😂😂😂
2026-09-26 09:21:39
2
1mom ak Anu🌹🌹 :
nimewapenda syo wengine Kaz kucheza tu nyimbo za kina diamond nakudans Bora at nyie mmejitu giaz3nu
2026-09-26 13:07:17
6
cimfya 💕 :
mungu awajaliye kwenye mitiani Yao ya mwisho na awape ulinzi mukubwa
2026-09-26 12:46:57
5
Kev D. Nevard Kalinga :
HONGERAA KIBENGU SECONDARY KWA kua na ukumbii wa sherehee make najifunza mengi nikucheki apa MUNGU awainue
2026-09-26 15:28:51
0
jack255 :
naomba kumjua mtunzi wa hii nyimbo 🥰🔥❤️
2026-09-26 09:17:32
2
Eun💞💖 :
Karibun ukubwan
2026-09-26 10:51:57
0
MWAMENJE MTU WA KAZ KAZ 🔥🔥🔥 :
10/10
2026-09-26 10:33:57
0
❤️💝Norah 🥰😍 :
🥰🥰
2026-09-26 08:11:36
0
Da kwilove :
🙏 nawaombea maisha mema ya ktengeneza ndoto mpya wadogo zangu kumaliza form 4 sio mchezo ni mono mungu umewabeba nawaombea sanaa
(wimbo mzuri wenye ujumbe mzuri)
Ameen,Ameen,Ameen
2026-09-26 11:53:22
3
it's_clarity🦋🌸 :
mashallah [Applause]........ikawe heriii in your final exams [Heartwarming]
2026-09-26 11:09:26
2
cute haji👌😘💞🤌👣 :
mnaenda wap😳
2026-09-26 12:24:03
1
cristina masorwa :
mwenyezi mungu awafanyie wepesi kwenye mitihani yenu wadogozangu
2026-09-26 13:38:48
2
MTOTO WA MAFINGA :
daaaah jamani mungu awape ufaulu mzuli maana mnavipaji saana 🥰
2026-09-26 15:10:52
2
To see more videos from user @zawadingailo, please go to the Tikwm
homepage.