@sports_news2026: ๐ง๐๐ก๐๐๐ ๐๐๐ฆ๐ฆ๐๐๐ ๐๐๐ก๐ญ๐ ๐๐ช๐ ๐จ๐ฆ๐๐๐ก๐๐ ๐ก๐ ๐ก๐๐๐๐ฅ..! ๐ณ๐ช๐ฅ๐๐งโ Niger ๐ณ๐ช 2-1 ๐ฑ๐ธ Lesotho Timu ya taifa ya Niger imeanza vyema kampeni yao ya kufuzu AFCON 2027 ikiwa ni baada ya kupata ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Lesotho.Golikipa wa Simba SC, Djibrilla Kassali alianza kwenye kikosi cha kwanza cha Niger na kucheza dakika zote 90 za mchezo huo. ๐ณ๐ช๐งค