@dongbillionair2: Mtu yeyote ambaye hakupendi au amekukatia tamaa, akiamini huwezi kufanikiwa, mpe muda. Usibishane naye—endelea kupambana kimya kimya. Siku moja mafanikio yako yatazungumza kwa niaba yako. 🔥💯 #DonG #Motivation #LocalLife #viral #foryou
DON G TRADITIONAL HEALER 🌿🔮
Region: TZ
Saturday 26 September 2026 04:16:48 GMT
Music
Download
Comments
nenda kwa usalama :
don g forever 💪
2026-09-26 09:47:03
2
xxxl :
dàà kweri
2026-09-26 04:26:27
2
𝘿 𝘾𝙧𝙪𝙯 𝙗𝙤𝙮 🇹🇿🚍 :
mimi Druz boy lazima niwe tajiri wa ukoo wangu kwa vyovyote vilee 🔥 lazima ni risk
2026-09-26 07:25:59
3
Crissqqer :
daaah kwer bro
2026-09-26 15:19:36
2
BD SIJAPATA :
nakubali kaka mungu azid kua naww daima familia
2026-09-26 05:22:06
2
Samiry yusuf Kassim :
saw kaka umenipa hamu Zaid ya kupambana san
2026-09-26 04:30:44
2
Ally mahende :
daaa we noma sana mnyama do g
2026-09-26 21:11:23
1
child of God @@ :
nakubal
2026-09-26 10:18:22
2
samson :
uhakika don g 🔥🔥🔥
2026-09-26 19:51:33
2
Cobla@h 👏🙌 :
nakubal mkuu 🫡
2026-09-26 09:27:12
2
Elia Boaz :
uwakika mkubwa nimeipenda iyooooo
2026-09-26 17:23:35
2
MTOTO MDOGO OF AMERICA TZ :
kwer kabisa bro nakukubali kwa kutuelimisha
2026-09-26 15:05:38
2
Emmanuel tktk :
hakuna kama wewe kak eshim kwak
2026-09-26 17:55:47
1
susu ndamo :
nakubali
2026-09-26 04:58:12
2
master mind proo :
kweli maisha yanabadilika maana hata chief godlove ameanza kujuta
2026-09-26 08:45:28
2
Nassoro Dafi :
ni kwel ipo siku watanikubali sichoki kupamban nitanguk nitaanz tenaa sikati tamaa one kk pia nitakuj
2026-09-26 13:34:15
2
enfant deiy :
ukweli
2026-09-27 20:49:44
0
xxxl :
noma sanaa
2026-09-26 04:22:58
2
user2093010713294 :
nimekubal kabisa
2026-09-26 10:20:14
2
Salum Fikilini :
donjiwe noma nakukubari
2026-09-28 22:19:59
0
Nestor :
mimi niji amini
2026-09-26 09:35:43
2
Mapilanga Jean :
saluti
2026-09-26 09:13:09
1
eliudchulda123 :
broo habari za siku na kutafuta kila siku kuna jambo la muhimu nataka tuongee ambalo litakuwa lina msaada kwako na kwangu na kwa wote uwapendao
2026-09-29 06:24:40
0
user6344135207235 :
🤲🤲🤲👍👍👍
2026-09-26 14:37:44
2
Denis Sarijore :
💪💪👉🦾🦾
2026-09-26 17:24:47
2
To see more videos from user @dongbillionair2, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.