Hii nchi viongozi wa upinzani wa hovyo sana.Yaani kwanamna hali ilivyokuwa inaendelea October 29 kama majeshi ya ulinzi na usalama yasinge simama imara,wanafikiri nchi ingekuwa hivi leo!?.Au tusema kwamba wao walikuwa nyuma ya sekeseke lile na endapo dhamira ile ingefanikiwa wangekuwa viongozi sqsa hivi!?.Hakuna askri walikufa kwani!?.Kama wapo,walipigana risasi wao wenyewe!?.Eeh nchi yangu,watoto wako wamepamdikizwa fitna,chuki na uchu ili wakuangamize 😭😭😭
2026-09-26 14:35:34
0
Neema Jonas :
Namuona kakaangu mzuri hapo mr mpina
2026-09-26 17:13:59
1
lucy lyuki :
heeee kumbebyupo
2026-09-26 10:17:46
2
AMI LAST MAN TZ :
mbaya sana hao watu na taasisi zao hawajali maisha ya wananchi
2026-09-27 08:24:00
2
J Rasheed cosmas :
Tuendelee KUWAKUMBUKA NA KUWAOMBEA NDUGU ZETU WALIOUWAWA OCTOBER 29 TANZANIA 🇹🇿
2026-09-26 11:39:53
2
mwile :
kabisaaaaa
2026-09-26 16:05:01
1
user153305476141alexchawe :
bora Samia angewafuta kazi asue sue kuwapeleka mahakamani
2026-09-26 10:58:12
1
unique boe :
mmh kwan kweny hat ya tume tauchaguz haukusini ww
2026-09-27 04:27:22
2
glasswiyne :
anaongea vitu vinavyo make sense shida ni ukinyonga wake,alimpigia sana kelele magufuli enzi za uhai wake ila safari hii kaa kimya
2026-09-26 05:29:25
4
Waboma :
wachane kabwe
2026-09-26 16:20:11
2
Benson Sebaatian :
mhhh mwaka.hu nta naona mengi😏😏😏
2026-09-26 08:20:03
0
Abedi Twaha :
Wanasiasa huwa ni vigeugeu sana,lau kama vyombo vya ulinzi wangekaa kimya miundo mbinu ingechomwa, maduka yangevunjwa na kuibiwa,watu kukatwa vidole kwa ajili ya mihuri na kuchoma mabasi na mataili hovyo,leo wange washawishi wananchi,Raisi na kabineti yake wajiuziru tena wange vimbisha mshavu na mapovu midomoni ili Raisi na AGP naviongozi wengine wajiuziru,Watanzani awa watu ni wakuwaogopa sana si watu ata kidogo,kwaiyo walitaka jeshi litazametu uharibifu wa mali za watu zikichomwa moto?
2026-09-26 21:01:01
1
To see more videos from user @zinjaslopus, please go to the Tikwm
homepage.