@jasusimsanuaji: Haya dogo chale kakataliwa huko anahaha na watu wameondoka kwenye mkutanano sababu inaelezwa aliwaomba hela 🤣🤣🤣 #fyppppppppppppppppppppppp #trending #Tanzania #tiktok #fyp

JASUSI MSANUAJI
JASUSI MSANUAJI
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 26 September 2026 05:21:34 GMT
10824
187
51
19

Music

Download

Comments

evehblu3sea
wendera wend ♥️ :
dhahabu aichafuliw
2026-09-26 14:24:25
1
user6384362559617
D Dav :
mimi nilikuwepo simiyu na watu walitowa vizri
2026-09-26 16:34:36
2
mazengo052
mazengo :
uongo
2026-09-26 08:40:27
1
intelligence.cube5
#Intelligence cube@RenGS :
amna fara
2026-09-26 09:54:36
1
kingtwally
user59280824572693 :
Chale tena!
2026-09-26 10:21:27
1
user3078811247086
[email protected] :
yani me ninyeshewe na mvua kisa namsikiliza mwenyekiti wa chama cha upatu kwelii??
2026-09-26 14:15:14
1
jumanyange349
Juma Nyange :
dogo chale 😂😂😂😂😂
2026-09-26 12:10:55
0
jongwe.04
JONGWE1 :
weka video yote
2026-09-26 14:01:20
0
boazdawa1
Boaz Dawa :
ccm hamuna jipya
2026-09-26 15:31:05
0
mazee338
mazee338 :
😂😂😂😂😂😂
2026-09-26 11:14:15
0
kubangaiza.m.kund
Kubangaiza M Kundavi :
El Nino iliianza? Ila siwezi nyeshewa na Mvua hata nikikuta watu wanaokota pesa 😂😂😂😂
2026-09-26 16:59:15
1
emanuelemanuelado
Emmanuel🌾jonn🌻🌽🇹🇿🔋 :
hawatakiw kuombwa tone tone zetu alitegwa kidogo
2026-09-26 11:45:12
0
user34104477834390
Basanga :
uongo
2026-09-26 12:35:10
0
user6105686362290
user6105686362290 :
Eeee wenyewe au wengine watakuwa wa Zanzibari kama siyo Ccm
2026-09-26 10:46:18
0
joseph.ocd
Jay classic :
ningumu heche kuzomewa anapendwa sanaaaaaa
2026-09-26 19:20:20
0
shabaniduduma
ShabyDuduma :
😃😃wamekushtukia Chale. shida sio kuiondoa tunawaza tukiiondoa tunaweka nin?
2026-09-26 18:31:55
1
phonedealer123
philosopher :
mnateseka
2026-09-26 11:06:28
0
idrissamohamed16
idrissamohamed16 :
Kachanganyikiwa
2026-09-26 10:54:14
0
frenkaugustino
frankross :
Heche is a goat
2026-09-26 09:06:52
1
user3978724327287
TANZANITE :
loug
2026-09-26 09:32:44
0
bakarishabani4
bakarishabani4 :
ilikua mvua inanyesha sio hela acheni uongo
2026-09-26 11:56:58
0
tungaraza
Tungaraza :
Mnahangaika sanaa ila jamaaa nyota yake imeng'aaaaa sio kama wa elimu mbali mbali
2026-09-26 12:11:06
0
user415861665312
user415861665312 :
Amestukiwa huyo
2026-09-26 12:46:15
0
nessystore8
bestie💪 :
🤣🤣🤣🤣
2026-09-26 12:04:53
0
gulamc2
Gulamali Chandoo :
🤣🤣🤣
2026-09-26 11:24:10
0
To see more videos from user @jasusimsanuaji, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About