@tanzania_kwanza: Achana vyeti vyake vyote vya elimu kisa hana kazi

Tanzania_kwanza
Tanzania_kwanza
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 26 September 2026 05:48:24 GMT
49490
1226
163
622

Music

Download

Comments

josephjoseph8015
Joseph Joseph :
:You don’t decide to be a job seeker; you decide to be a job creator. congratulations for that passion& stay passion
2026-09-26 18:53:53
0
lupapape
lupapape :
hapo umechana living certificate hivyo vya chini havijachanwa
2026-09-26 15:42:31
47
regon173
r🇹🇿🇹🇿 :
jamani elimu mwisho form 4 tu.......kwingine kupoteza muda tu
2026-09-26 15:15:42
105
meshack23_
MESHACK PAUL✅️ :
apo umechana copy ya vyet maan vimegogw muhuri[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-09-26 21:31:11
0
jeremytimothy19
Jeremy Timothy :
Duh stress is real
2026-09-26 16:58:41
16
aficionadojr
ȺFƗȻƗØNȺĐØ ɈɌ🐬 :
Kudos to you🫶
2026-09-26 16:50:50
0
wamtoni
Hon Chang-ular Erneo :
Mental health is real. What cannot always be seen can still deeply affect how a person thinks, feels, behaves, and lives
2026-09-26 16:52:10
10
al.quran7476
Al Qur’an :
Vyeti ni nyaraka za serikali sio mali yako binafsi
2026-09-26 15:25:46
15
willkid_mc
willkid_mc :
apo baada ya mwaka mmoja inakuja nafasi ya kazi
2026-09-26 18:00:33
9
karinga91
mussakayunikaringa91 :
true focus 👌
2026-09-26 16:45:36
0
simple_boy.tz
Simple boy😎 :
Absolutely me
2026-09-26 15:26:13
2
freedom4nt
☯︎ :
wabongo wengi tunafeli kwenye purpose ya kwenda shule, namshukuru Mungu alinipa kujua purpose ya kwenda shale. wengi wanafocus na purpose moja ya kusoma ambayo ni kusoma kuajiriwa baasi. kumbe kunamengi nje ya hiyo
2026-09-26 15:09:16
10
the_scentsbar
MERINAH :
Kuna mtu alikosa nafasi ya kazi sabab ya living certificate alaf kuna mwingine anachana😂😂😂 maisha haya bhb
2026-09-26 16:47:39
7
erick.ford70
Erick Ford :
serikali hawachelewi kusema umechana nyaraka za serikali😁😁😁
2026-09-26 19:59:28
3
mwawalifetime
lee-don-work :
haja chana bana
2026-09-26 18:01:07
2
creator.pilot.program255
@Glassguy+255 :
Safi
2026-09-26 19:58:31
1
cwtpya
cwtpya :
vyangu sijui vilipo😂😂😂 na nishapita umri wa kuajiriwa🤣🤣
2026-09-26 14:00:17
6
b.laizer
B.Laizer :
lakini vyeti havikua na maana kuchana ungefungia ndani na uendelee na biashara cheti ni nini??? Cheti ni kiwakilishi au tuzo unayopewa baada ya kufika hatua fulani kwa hiyo ingekaa tu ndani kuonyesha ulifika hatua fulani
2026-09-26 17:01:50
5
mwawalifetime
lee-don-work :
ila hata mimi ndokitu kilikuwa kinanisumbua ila elimu nibola yakuku fanya ufanye biashara yako kwa ustadi...elimu sio upate ajira ....ndo mana serikali imeanzisha somo la business studies for job creater ili kuepuka hizi mambo
2026-09-26 18:00:05
5
iamually3
Young Hustler💪💯 :
Huyu sister kafanya hivi kwa uchungu sana bila shaka kavihangaikia sana ivo vyeti lkn kwa alipofikia kawa dissapointed pole sana mungu akusimamie kwenye mbadala wako.
2026-09-26 20:15:36
1
renatusleopard782
Renatus Leopard :
au sio
2026-09-26 18:42:01
1
mathiasmasota3
m :
nyaraka za serikali izoo🤣🤣 aya
2026-09-26 18:46:34
1
adnanmohamed396
Adnan Mohamed :
nimefanya appication ya mwisho nikikosa namimi navichana acha nikalime
2026-09-26 16:29:45
2
jacque11192
Jacque111 :
Hivi ni kwanini watu wanatofautishq elimu na biashara ..mimi nafikiria Elimu inapelekea ujuzi
2026-09-26 16:43:42
4
To see more videos from user @tanzania_kwanza, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About