sasa up ndo msimamo WA kiume Allah akuongoze shekh wetu
2026-09-26 08:15:15
41
Mussa Nduwimana :
Na tiktok tuzitowe kwenye ma sim zetu ni haram jamani mmesikia?🥺🥺😏😏
2026-09-26 10:06:44
5
nassir nteze :
maashaàllah ALLAH akuzidishie akupe umri mrefu shekhe wetu
2026-09-26 08:27:56
11
bjoshua :
huyu anapotosha hiyo ni alama ya Jumlisha hivyo hata darasani Waisilamu Msifanye Somo la Hisabati na ndege msipande mana ndege ni alama ya Msalaba. Shekhe acha kuoongopea Waisilamu.
2026-09-26 08:09:11
4
edward motiba :
nabado mbona alama ya kujumlisha mnaitumia
2026-09-26 11:45:56
0
jayloh :
huo sio msalaba
2026-09-26 21:00:01
0
Khalif Hamisi :
msalaba uooo
2026-09-26 10:44:45
1
cashnaa :
Allahu akibar
2026-09-26 09:01:19
3
Chief :
Basi hii hapa mambo ya "Bonyeza ama ni follow" pia ni haramu..
2026-09-26 13:14:00
0
amina issa ramadhani :
Mashallaah Mwenyezimungu Akupe umri. mrefu
2026-09-26 14:21:48
2
Selmara Dah history :
Allah
2026-09-27 08:20:25
0
leylatotty :
how are u
2026-09-27 03:53:58
0
user4828682754815 :
kwel kuingia najez msikitin haifai
2026-09-26 08:33:27
1
Nacky 🦋 :
alihamdulillah
2026-09-26 14:50:58
2
Allah Akbar :
Allah Akbar
2026-09-26 09:58:48
1
assumane Juma :
allah
2026-09-26 21:14:59
0
mdogo kevi :
naomba kuuliz ni kitu gan muislam atasema sio haramu ni kitu gan maan kila kitu ni haramu
2026-09-26 20:24:04
0
Shubiha Seleman :
mashaallah
2026-09-26 20:16:31
0
Dadiz Boe Tz :
Maisha
2026-09-27 06:54:10
0
Johari Francis :
na tiktok usiitumie acha kabisa ni haramu.
2026-09-27 08:23:40
0
Michael p :
😁😁😁😁😁😁 tena
2026-09-27 00:07:19
0
Idd Kimbokota :
ndiomana na sivai jezi yeyote ile
2026-09-26 08:50:53
1
leylatotty :
kwa sheikh Abasi pale hawatak kabisaaa msikitini
2026-09-27 03:53:31
0
To see more videos from user @rubeyatv, please go to the Tikwm
homepage.