@biasna_fine._girl: WITH MY FAMILY #fyp #jesusizKing #viral #lovewithjesus✝️❤💍

BIASNA_FINE _GIRL✨💎
BIASNA_FINE _GIRL✨💎
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 26 September 2026 06:10:00 GMT
177738
13514
456
121

Music

Download

Comments

faithkazungu115
Tina Faith :
Happy family[Heartwarming][Heartwarming]
2026-10-13 14:24:00
0
rumi_dah2
rumi_dah2 :
I just love the view ya hio milima....babako nae mzuri❤️❤️
2026-10-13 19:45:06
0
user42311884304128
teenah22 :
jmn umefanana na baba [Heartwarming]
2026-10-13 13:18:15
0
prettyfey39
📿🤲 :
wesambaa wawp dear
2026-09-26 06:28:45
5
hellen10jo
DoryHellen :
hii bila shaka ni same
2026-09-26 11:32:51
7
th1nk97
Fidèle_🍂❤️ :
baba swala tano🥺 mtoto wa like kabadili dini kuwa mkiristo 🥰
2026-09-26 07:38:19
59
meleet.zacha
official_letique :
baba ako mpole sana jamani, kuna huyo wangu mtaa mzima wanamuogopa😂😂😂🥰🥰
2026-09-26 06:29:19
265
felister.jumanne
fetty J4 :
hongereni mlio na baba zenu🥰. 2sio na mababa mungu awapumzishe kwaamani awapunguzie adhabu ya kaburi😭🙏
2026-09-26 09:15:28
178
witnessmunda307
Celine 💗💗💃💃 :
huyo baba angu hata kukohoa tulikua tunaogopa
2026-09-26 07:03:27
61
winfrida.mpale
Frida Martin :
Dada nimekukubali unaishi katika uhalisia wengine wengetuonesha maghorofa Mungu akubariki sana
2026-09-26 08:07:51
133
winfridanyundo
winfridafidely :
naangalia hii nabaki nikiamini siku moja nami nitafanya jambo jema kwetu and my mama will feel happy ,,, hongeraa B
2026-09-26 07:10:51
46
maryam.haruna6349
Queenbae🦋🦋 :
Jomn wee dada kumbe msambaa 🥺😁
2026-09-26 07:14:07
37
miriam.maroping
Mimi curve :
Mazingira mazuri hasa mvua ikinyesha kunanukia vizuriiii udongo nilivyo na stress natamani kuja huko kuishi
2026-09-26 10:42:56
14
qwinjoj0
𝕁𝕆𝕁𝕆🍭 :
Katika content creator kanyooka ni ww kipenz ufake no filter uko proud na kila kitu yaani NAKUPENDA SANA BIASNA❤️❤️
2026-09-26 13:38:01
34
namieli02
Namieli❤️ :
Baba ana afya kuliko mama jamn
2026-09-26 10:14:38
5
anilliyyah
ANILLIYYAH❤️ :
Hadi raha wazazi wako wako pamoja , wanazeeka pamoja , Kuna sisi wengine hatujui ata baba zetu wakogo wapi miaka yote 😣
2026-09-26 06:42:35
47
florenc0507
Florence :
wandee wangu watana🥰🥰🥰
2026-09-26 16:28:57
5
horo_nzobe
Horry_zuri😍🥰 :
Umefanana na baba🥰
2026-09-26 07:01:43
12
lucyjohnsulus2
𝙻𝚞𝚌𝚢 𝚜𝚞𝚕𝚞𝚜 :
mm nasubilia video tu napenda sana maisha yako dear
2026-09-26 07:55:47
13
happyphaniaawadhi
Kigoma product :
Kumbe msambaa wifi angu kabisa nawapenda wasambaa 🥰🥰
2026-09-26 11:17:45
7
user8597016320447
jack :
Asante kipenz kwakumuungisha mam yangu🥰🥰🥰
2026-10-03 06:57:28
3
user31532685300455
jecious bee :
umefanana na babaako mwaya
2026-10-12 09:48:35
4
officialphina82
officialphina :
kumbe atatoza du 🤣🤣jmoun love ue
2026-09-26 18:35:56
0
user3600438325841
Jackline 🤍 :
Nimekupenda bulee Nataman hata uwe Dada angu🥺 wacha nikufollow😘
2026-09-30 19:54:52
1
bisawajuma0
🥰Aisha💞 :
Mashaallah nimempenda mama MSAMBAA MWENZANGU HALAFU ANAONGEA KAMA MAMAANGU JAMANI
2026-09-26 19:46:52
1
To see more videos from user @biasna_fine._girl, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About