@lilymediaa: wanao mjadili Joel lwaga. amewajibu yeye anaenda na trending ukisema uimbe vile vile unabaki chini kama kina bonny mwaitege #viralvideo #dudubayatrending #joelwaganadiamond#trendingviralvideo #fypシ
Kila njia ya mtu ni Sawa machoni pake mwenyewe,bali bwana hupima mioyo,🙏🏾
2026-09-26 07:59:44
199
LAST BORN 🧸🧸 :
kumbuka ukimya ni jibu toshaa
2026-09-26 07:32:47
65
dannie elias :
Hiyo video sio ya mwaka huu, aliipost kitambo sana
2026-09-26 08:23:11
35
queen bula :
mimi ninacho fahamu mungu hana ubaguzi ni mungu wa wote
2026-09-26 08:04:33
34
🐟🧡 :
tushampoteza. tuendelee na 👀 our backs ✌️💪
2026-09-26 08:42:27
8
☠️😻MAMONE 😻☠️ :
tell them bro just do wat makes u happy
2026-09-26 09:54:54
0
John Kidando :
bro achana kjibishana nao wanachotaka utoke kwenye mfumo wapuuze piga kazi zako
2026-09-26 07:09:26
41
shekys_collections :
Mbona huwekagi jina la yesu kwenye nyimbo mtumishi.
2026-09-26 09:07:41
16
Clayton mzava :
hivi toka unamjua ambwene umesha ona ameimba tuofauti na kilicho fanya mashabiki tumpokee acha njaa kaka kama mungu kakufanya ujulikane kwa kumuimbia usimchanganye na watu wa mataifa uosihendekeze trend unatufagawa mashabiki zako
2026-09-26 07:38:00
20
Mars_deco and interiors :
Thats true
2026-09-26 09:14:29
0
guimaraes :
syo hvy ukweli ni kwamba Joel lwaga anapenda sana mambo ya kutrend siku hiz
2026-09-26 08:52:36
14
Abraa Simyota :
ohoooo sawa
2026-09-26 08:59:22
0
shillah zemiddle 009 :
Mbona hii clip niyazamani sana baada ya kutua olodumange sijui oledufem
2026-09-26 08:34:55
5
Nicholas Michael :
fact brooo
2026-09-26 08:17:12
3
kisellah :
Ni kweli unajitetea lkn bado tunaenda na boaz dankeni,upendo nkone,dr ipyqna,paul clement na wapo na utukufu wa Mungu
2026-09-26 07:56:18
7
user3411970829679 :
kwan lazma umjibu kila mtu kaaga kmya bas na ndio utumish
2026-09-26 07:32:06
5
Catherine Mrope :
Kaka nakupenda ulivongea nimefurahi roho yangu kwatu mbona awasikili ata nyimbo za upendo nkone 🥰🥰🥰
2026-09-26 09:11:43
6
Queen~B~point 🦋🦋 :
usipigane vita ni ya bwana ukipigana anatulia ukitulia anapigana
achana nao hao
2026-09-26 07:50:45
8
Peniel Abraham🇧🇮💓 :
Kwani bro unaimba kwajili ya watu au nikwajili ya Mungu nawatu wakikuacha ndo Mungu amekuacha ama Hebu muacheni jamni huyo nimtafta Hera wala au mnataka awambiyeje Kwani ndo mmuelewe muacheni atafte hera
2026-09-26 07:32:55
11
samirahassan15 :
ukikaaa kimy broo itapendeza zaid
2026-09-26 07:29:46
12
elizabeth sanga :
waambie ao kaka wanajifanya wana lijuwa neno sanaa
2026-09-26 07:10:41
9
🌴🅱️𝕣𝕚𝕝𝕝𝕚𝕒𝕟𝕥_𝕞𝕒𝕟🅳 :
ila anachokiongea n cha mwaka jana but hata mwaka huu kwenye nyimbo aliyotoa na mondi ime target wachaw wake yan watu wame diss snaaaaa
2026-09-26 07:04:32
5
Classy ladies Collection 😇👌 :
mnatuchannganya mtajua wenyewe jmn yuwiiiii🥺🥺
2026-09-26 09:21:23
4
𝕺𝖇𝖟𝖆 𝖔𝖇✅️ :
Skuiz watu nd wamekuw wana Hukumu wenzao yan watu wameshajifnya Miungu WATU kila kitu wanajuw Kuhukumu watu📌📌📌
2026-09-26 09:47:53
1
To see more videos from user @lilymediaa, please go to the Tikwm
homepage.