ritual ya ku manifest hela inafanyikaje kaka [Pray]
2026-09-26 08:14:53
39
Maxwell Machage :
weka speed 1.5 utanishukuru badae, na ongea haraka video ni nyingi za kuangalia
2026-09-26 20:00:18
152
Ƒҽʂէօ ąӀʂօղ🇹🇿 🇺🇲 :
sawa tiktok nimekuw mchawi
2026-09-26 19:50:10
10
Layel :
Mimi tangu siku nimejinenea mimi ni wa thaman nastahili pesa nyingi mpka sasa alhamdulillah
2026-09-27 09:35:18
148
Sele :
litho maana yake ninini
2026-09-26 07:35:32
7
Valence Chacha :
asante kwa elimu, ila ningependa kujua ritual ya pesa au ya kitu chochote inafanywaje, nadhani kuna wengine pia hapa hawafahamu
2026-09-26 13:31:01
26
kevin🎵 :
umeongea point mzee, vyote hv vipo kwenye vitabu, shda ndo hvyo hatuna utaratibu wa kusomaa, tunaishia kwenye vitabu vya story tu, Big up mzee
2026-09-26 15:22:56
18
🦋💦Molly :
Hizo ritual ndo zinafanywaje sasa msaada
2026-09-26 16:24:02
10
me🎶 :
kaka kwa mara ya kwanza nimeelewa kitu kigumu sanah in a simple way kwa kukuskiliza tuh
2026-09-27 09:41:06
10
cheusi manyweleee :
Tangu nimeanza kujua iv vitu dunia yng imekua ya tofauti sana sijui nilichelewa wap but any shukrani🙏
2026-10-07 13:07:25
7
You deh crazy🤣 :
Ilo swala ni kweli kabisa maana mimi nina miezi 6 sasa nafanya icho kitu na mafanikio nayaona kiukubwa sana na sijawai kufanya kfala yoyote awala tambiko
2026-09-27 06:34:59
8
sharon :
ongea haraka inazima🤣🤣
2026-09-26 13:29:20
5
Aisha Mushi :
Sijui ni umri umeenda najaribu kuelewa mara napotea 🙆
2026-09-26 11:58:40
34
🧘♀️Lynda✨️ Linah👸🧿🇷🇼 :
insha allah iposiku tutakutana🙏
2026-09-26 11:16:28
10
reymers1 :
Ndomana siwez kuishi bila kucheza michezo 😂😂
2026-11-05 21:24:00
5
🎀Leah🌹 :
Nina bahati sana🥰 kuanzia hapa mateso nitake mwenyewe
2026-09-26 20:58:20
10
dizzle bodyguard :
😂😂😂Mwanangu nimekuelewa saana leo hakika umenipa bonge la somo juu ya uhalisia wa ulimwengu
2026-10-07 09:27:22
5
tanna :
✌️Jamaa kaongea kitu kikubwa, spiritual peoples wapo kwa ajili ya kushare experience ila jukumu la kubadilika ni wewe😁.
Huyu anaeongea hapo ni mmoja ya watu wooote ambao tupo huku peponi😁
😎iko tu ivoo
2026-09-27 10:09:57
7
Thegrammy :
3,6,9 manifesting
2026-09-26 10:42:26
5
seba :
ritual ya pesa unaifanyaje
2026-09-26 11:43:45
5
EVVYFM :
2026-10-01 01:41:05
2
itsher.40 :
Wait are you married asking for my friend😁
2026-09-26 07:45:57
2
🌀GOODMO7❄️ :
ni asili ya ulimwengu ni kujiludia 🌀
2026-09-27 06:59:48
2
To see more videos from user @nguvuyarohoakili2, please go to the Tikwm
homepage.