mmeanza kutoa laki tena wazee,si tumekubaliana mwisho elf5
2026-09-26 10:22:02
291
Doreen :
Me sjawai pewa ata iyoo laki ila cku nikija kupewa ntafrai sana
2026-09-26 08:34:31
88
ishiy.momo๐ฆ๐ค :
wanaume mbarikiwe mnaotafuta ridhiki
2026-09-26 11:47:38
53
Bakari Yusufu :
TRUE MA NIGGA ARE WE TOGETHER ๐
2026-09-26 10:27:47
1
kechope :
Sa Kama nakuombea kimya kimya je
2026-09-26 10:14:47
26
Emmanuel Wandeti โ๏ธโ๏ธโ๏ธ :
Bora umenisanua nilikuwa napeleka iphone 15
2026-09-26 13:03:01
33
Lit๐ซโค :
af mwisho wa cku unaachwa rehani๐ฅบ
2026-09-26 09:14:15
37
๐ฅ๐ฐ๐๐ ๐๐ฅ๐ฌ๐ฉ๐ฌโ๏ธ :
Sahih brother
2026-09-26 11:58:08
1
just sabas 7sโ๏ธ :
laki tumefika lini tena mbona mnaenda kasi sana
2026-09-26 11:24:08
69
Ibrahim ๐คซ :
sio shukrani na kukuombea tu atakuuliza vipi mwanangu hii ulio nipa wewe utabaki na nini mwanangu je? umekula mwanangu. mzazi akikuuliza hii imetoka moyoni wazazi wawili ni noma sana๐ฅน๐ฅน๐ฅน๐ฅน
2026-09-26 08:45:29
59
Dee Razko :
umetixha kak.
2026-09-26 08:23:20
8
Stellah Cosmetics ๐๐๐น๐ฟ :
Kila mtu ampe baraka mtoto wake
2026-09-26 12:58:29
8
Lyciouz Max :
blessing kaka
2026-09-26 08:55:02
5
angel@tz :
NIMEJIFUNZA KITU AHSANTE KAKA๐๐ฝ
2026-09-26 09:47:05
9
Ts breveen๐ฆ :
Kwa kwel hujakutan na wanawake wanaojua jinsi ya kushukur sio kwny ela tuu hta chkula utasikia santee baba mungu akuongezee ulipo toa
2026-09-26 10:11:59
69
Alhaj Malik :
respect
2026-09-26 13:12:04
1
stellah kids TDMโ :
home boy
2026-09-26 09:50:01
3
Ng'humbu :
nakumbuka hela nyingi niliyopewa na mwanaume 180000 tena na mbaba
2026-09-26 09:00:11
8
๐๐ค Qalbi ููุจู ๐ค๐ :
mm bor wangu akinip buku ya vocha namwmbia Allah akuongezee palipungu upat pesa mingi unihongeeee๐ zaid