@coolnews24hrs: Kila mtu anazungumzia moment hii ya kipekee sana! 🌍 Wakati wa mchezo, fundi Arda Güler alilazimika kusogea karibu na kibendera cha kona na kuomba maji kwa mashabiki waliokuwa jukwaani baada ya kuhisi kiu kali. 🔥 Lakini cheki breaking news hii! 😲 Badala ya kumrushia chupa moja ya maji kama ilivyozoeleka, mashabiki waliamua kumpasishia MFUKO MZIMA uliokuwa umejaa chupa za maji! 📦💦 Kitu kilichowakosha wengi na kuifanya video hii itembee kwa kasi ya ajabu ni ule utulivu (coolness) wa Arda Güler. Alipokea mfuko huo kwa tabasamu, akaufungua taratibu, akanywa maji yake, na kuwarudishia mashabiki kwa upendo huku akiwashukuru! 🙌⚽️ Wewe unaionaje hii moment? Dondosha comment yako hapa chini! 👇💭 Follow @coolnews24hrs For more 🙏 🏆 ⚽ #respect #ArdaGuler #footballmoments #viralreels #fypppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppp